“Tatizo la mafuta ni kubwa kuliko uhaba wa umeme.”

Tuesday, August 09, 2011 0 Comments

Mkazi wa Dsm akifurahia baada ya kujipatia mafuta kwa mbinde ktk mgomo wa wauza mafuta unaoendelea (picha kutoka kwa matukio-michuzi)

Serikali - EWURA inapaswa kuchukua hatua kali za kisheria kutokana na wauzaji mafuta kugoma na kutotii mamlaka, kutofanya hivyo kunadidimiza maendeleo na kuhatarisha maisha



0 comments: