Karen na Vina walivyopokelewa kwao Nigeria.....

Saturday, August 06, 2011 0 Comments

Mshindi wa BBA 6 Karen alipopokelewa ktk Airport ya Murtala Mohammed Nigeria, pichani akisindikizwa na mabaunsa wa Multichoice. Karen na Wendall washindi ktk Amplifaya ya Bigbraza wote waliondoka J'burg majuzi kuelekea ktk nchi zao na kitita cha $ 200,000 kibindoni

Vina na mwenzie Karen wote walifanyiwa interview redioni baada ya kuwasili na usiku bonge ya party ya kuwakaribisha huko Chrome night club, VI.

0 comments: