Dida na G ktk matukio ya harusi mwisho wa wiki iliyopita......

Monday, July 25, 2011 22 Comments

Bi. harusi alipowasili Mkapa Zone tayari kwa kufunga ndoa

baada ya ndoa maharusi wakapanda mlima wa kutengezwa kwa ajili ya picha na mambo km hayo

baadaye shughuli ikahamia ukumbiniChampagne ikafunguliwa. kutoka kushoto Lady Jaydee, Ashura Macheni, Dotnata na Mariam Keki wakionyesha ujuzi wa kufungua Champagne

Mzee Yusuph akatumbuiza


Isha Mashauzi na bendi yake pia walitoa burudaniwafanyakazi wa Times Radio ktk picha ya pamoja na maharusi


Jokha Kikumba akimpongeza bi. harusi

Mwenyekiti wa kamati1 Dotnata

Mwenyekiti kamati 2 Chilu

mzuka ulimpanda Mc wa shughuli hio akaingia kuserebuka sambamba na wageni waalikwa


Huku wageni waalikwa wakiendelea na burudani Maharusi waliondoka kwenda mapumzikoni

22 comments:

 1. Dida hongera sana ila best utulie basi maana nyie mastaa hamkawii mara kesho tutasikia mmeachana ndoa ni stara bibi.
  Halafu wewe si muislam umefunga ndoa ya bomani?

  ReplyDelete
 2. heheeeeeeeeeeeeeeeeeee Watajicarry

  ReplyDelete
 3. Hongera sana dida

  ReplyDelete
 4. ulipendeza mno dia. tuwekee picha zaidi mpendwa. bila shaka gauni limetoka china zuri sana.

  ReplyDelete
 5. Heeee na shela ukavaa???????? makubwa

  ReplyDelete
 6. dida kiasi ulipendeza but mbona umetuwekea picha ulizopigwa kwa mbali?nitafurahi kama utaweka picha nzuri zaidi ili tusaminishe maana we kwa mashauzi ndio mwenyewe.

  ReplyDelete
 7. Hongera sana Dida..!! Mungu mwema awasimamie kwa kila jambo katk maisha yenu yote ya ndoa.

  ReplyDelete
 8. Dida, mbona umeweka picha kama sio zako vile? vipicha vinaonyeshaa kwa mbaaali, alaa hebu weka picha za maana bwana, vipicha gani hivyo vinaumiza macho? tumesubiria muda mrefu tuone hizi picha, kwahiyo usilete masihara hapa

  ReplyDelete
 9. Hongera Dida.Usisikilize ya watu.we sali sana kwa ndoa yako! Thats all.

  ReplyDelete
 10. umependeza ila upunguze majigambo

  ReplyDelete
 11. DIDA wa G hujui G for General

  ReplyDelete
 12. Umependeza mpenzi wangu, umenoga sana, yani aliewapamba, amefanya vizuri sana, make up zimetulia sana,
  shela pia nimelipenda, nakutakia maisha mazuri sana na ndoa yenye furaha,

  ReplyDelete
 13. Nimelipenda shela lako..pendezaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 14. naona mume mwenzake GERVAS alikuwepo mzee yusufu,haya dida maisha mapya hayo ingawa mshazoeana kwani mshakuwa na uhusiano kwa 4yrs

  ReplyDelete
 15. from nagoya jpn mlawaJuly 29, 2011 at 3:46 PM

  wacha wee kweli yametimia sasa,kilichobaki dumisha ndoa yako mungu atawajaalia.

  ReplyDelete
 16. tulia mdogo wangu kuolewa na kuachwa hapendezi kila wakati unaonikana una hila fulani

  ReplyDelete
 17. hongera kwa kuolewa tena kwa mara ya 7

  ReplyDelete
 18. mdogo wangu anaolewa dida nataka nikutume shela km hilo kutoka huko ulikolinunua kwani nimelipenda sana

  ReplyDelete
 19. KIMEKUSIBU NINI SHOST KUMBE YALE YALIKUWA YA MDOMONI TUU MAKUBWAAA

  ReplyDelete
 20. kwa mara ya kwanza maiko jakson wa bongo kapendeza na make up, thanks to shear illusions. maybe nawe utaolewa sasa, mana kujichubua mpaka unakua kama nyani, khaaaa! full ushamba. jamani dida u are cute,hua nakupenda bure

  ReplyDelete
 21. picha zako hazijatoka vizuri next time jaribu kujirekebisha!halafu umetoka simple tu wala huja change

  ReplyDelete
 22. Safi xana, mawaya wenye midomo mirefu kama chupa watajijuuuuuuuuuuuu.

  ReplyDelete