USHOGA KAZI MJINI JAMANI,USIFIKIRI SHEREHE BALI ALIKWENDA KUSUTWA MTU KINONDONI KWA MATARUMBETA HAYA SASA WALE WENYE MIDOMO WAZI KAMA KITUO CHA POLIS.

Sunday, November 21, 2010 2 Comments

Shughuli ilikuwa mija kula na kunywa mpaka mtuhumiwa arudi kazini.

Wageni wakiendelea kujitumbuiza na matarumbeta.
Mtaa ulijaa kama ifuatavyo chezea kusutwa wewe,na wacheza shoo kama umuonavyo bi dada.
Wela welaaaaaa.
Shuruti kwa pozi.

2 comments:

  1. Aibu aibu tupu, wote waliokwenda kumsuta mtu ni wavuta bangi na wasenge hawana akili. Hii inasaidia nini, kama mtu amekuudhi si unaachana naye unaendelea na ujenzi wa taifa !

    ReplyDelete
  2. Khaa! ABEID naye yupo??? Mhhhhhh!

    ReplyDelete