KWA WALE WANAOPENDA KUWANANGA WENZAO CHUKUA HIYO,MANENO YANGU KAMA SKIN JEANS IKIKUBANA KAVUE.

Wednesday, November 17, 2010 19 Comments

Hivi nyie mnaopenda kuwananga wenzenu mara hawajapendeza,hawavutii,tunawaomba tuweekeneni picha zenu sio mnaongea tu wengine si wa sura wala shepu mmefanana na babu zenu,acheni izo mie hata mkininanga hamnishtui sababu hujanichangia hela ya kivazi wala kipodozi nitaenda nanyie sambamba ila kuna watu wamo duniani kwa kuwananga wenzao jaribu kuwatafuta wao utacheka ufe,sura zao nzito kama unga wa dengu,miguu mipana kama wametoka jangwani kwa mguu mpaka makwao,vidole vimewachanua kama maua,ukirudi kwenye upande wa mavazi hawana lolote wanawake wenzangu msistushwe na maneno ya wang"oa meno kwa koleo hayo ni yao tu hata uvae vipi binadamu haoni wenye kuvaa vimini tuvae tu hata kama tumejaaliwa miguu kama chupa ya gongo yetu,tusio kuwa na makalio piga tu chochote kuhusu makalio hata mbwa wako anayo Acheni izo kuwananga wenzeni ikiwa nyie wenyewe shuti kuvaa mabuti harusini na anayekunanga ujue umembana na mbwa ukimjua jina wala hakupi shida Eid njema.

19 comments:

  1. na wewe una mdomo balaa. kwani ukiaa kimya utapungukiwa na nini? hii ni blog kila mtu anaandika anavyotaka ni wajibu wako wewe mwenye blog kuweka hizo message au hapana. sioni sababu ya wewe kila wakati kujibizana na watu . blog yako umeifanya ya mipashano. wewe kama mwenye blog unafundisha nini jamii.

    ReplyDelete
  2. Wape wape shenzi zao eti ooo tumbo kubwa ukivaa nguo hupendezi kwa hiyo nitembee uchi na tumbo mwenyezi mungu kanijalia tena wakome kunanga wenzao

    ReplyDelete
  3. WAELEZE WAELEZEEEEE HAO WASHENZI SANA KAZI KUONA YA WENZAO YAO KIBINDONI . SHENZIIIIIIIIIIIIIIIIII ZAO.

    ReplyDelete
  4. tema wakukome mtoto wa mwanamke mwenzao jamani mbona wanakufuatlia namna hiyo? wao ukiwaangalia sura utafikiri wanapaka cream za mchana usiku na za usiku mchana inahuu!!!sura zimewanyara kp hawaendi mpaka watumie kadi ya shoga,sare apewe kipande na shogaye ndio anaenda kitchenparty

    ReplyDelete
  5. Baelezeee, baelezeee - yaani umenichekesha, eti 'MBWA UKIMJUA JINA WALA HAKUPI SHIDA' yaani umemaliza kabisa.

    Hivi kwanini tujiwache watu wajifurahishe wenyewe, hata kama kaumbwa na miguu mnyembamba au tumbo kubwa ni mapenzi ya Mungu, na anauhuru wa kuvaa anavyotaka, Period!!

    ReplyDelete
  6. Ama kweli mitikisiko ya pwani!!!!!!!!!!!!!!!.

    ReplyDelete
  7. he he heeee,vizulu vyokwiza sambisambi go mwana we hi hiiiii zaidi ya burudani........lete lete uhondo mwanangu....yaani nikiwa nimechukia nikifungua tu hii blog nacheka kufa.....

    ReplyDelete
  8. na wewe kichaa chako wanakujulia!
    wanakushika ndipo unabweka kama mbwa!
    shika akili yako, hawakuachi hao mpaka wakupeleke bati jekundu!
    si tupo tunashuhudia.

    ReplyDelete
  9. Mbavu zangu mie asante sana Dida tena wako wengi na kweli ukiiona mijitu yenywe sura mbayaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. tehe tehe kwikwi nccheke mie jamani watu na matukio wapewape jembe gumu msg sent kwa wachonga ngenga wote chezzzea

    ReplyDelete
  11. wewe uliendika hapo juu, tumbo kubwaaaa, matako huna, viguu vyembamba kama umebemendwa hat auvae nini hupendezi, shinda na kaniki kama mganga wa kienyeji,na bado tutawasema sana na shepu zenu za kabati,michelini na samaki,juu kama mabaunsa chini kama mmeparalaizi,vishepu hamna mnajishaua tu nyooooooooooooooooooooh

    ReplyDelete
  12. we amina zangira ebu tuonyeshe bac hizo picha zako ulizosema we ni mzuri sana, na unamiguu mizuri sana unashepu nzuri sana, mbona hatuoni hizo picha zako baraka ya sifa tu kumbe haulipi hata kidogo na mashauzi ya bure kutembelea hilo gari ndo utupe shida wenye pesa wakisema watoke naye utatoka nyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  13. hahahahahahahahahaha lol...me huku sipo kabisaaaa ndo naondoka hivyoooooo..

    ReplyDelete
  14. WE UNALO AU UNAUZA NYAGO TU HATA MKOKOTENI HAUNA HAHAHA MWANAMKE KUJISHUHULISHA NIKO BIZZY KUTAFUTA MSHIKO NIKIPATA MUDA NITAKUWEKEA HUNA LOLOTE KAZI,NA HADI UNAUMIA NA MIE UJUE NIMEKUZIDI NA UNANIKUBALI CHEZZZZEA STAY TUNED UTANISOMA MJINGAMJINGA WEWE NA NIMESHAKUJUA MFUPI KAMA NUKTA NA UNAJELOUS SURA MBAYA KAMA NA UMEKOMAAAAAA KAMA MCHEZA SUMO UTANIWEZA WAPI MIE UTAISHIWA KUCHEZEWA NA HUYO MMOMBASA KWANZA HABARIZAKO AMENIPA ZOTE.TEHE KWI KWI KWI NA UNANIOGOPA TAJA JINA LAKO KU.. WEWE.

    ReplyDelete
  15. ETI KUTEMBELEA GARI NIWAPE SHIDA NAWE NUNUA LAKO HAHA HAAA POLEEEEEE WE UTAISHIA KUUNGURIKA MIE NDIO HUYOOOOOOO UTAISOMA PLET NUMBER NAKUONEA HURUMA MIGUUU INA MABAKA KAMA KENGE,HUJANIKERA BADO WALA HUNA NENO JIPYA YOTE ZILIPENDWA.KAZI KUNUNIA WATU BILA SABABU MSHAMBA MMOJA WEWE.

    ReplyDelete
  16. heee ujumbe umekufikia bi dada hiyo gari mi nayo zaidi yangu hizo gari za kuhongwa ndo utupe tabu ukinuniwa na gari unaporwa pole maisha gani hayo, we hunipati hata kidogo ufupi tija makalio nnayo tena ya adabu ni ni mzuri kushinda wewe falaaaaaaaaaaaaaaamkumbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  17. makalio ya kichina hata mi nikitaka nayapata wachekesha ungekuwa na gari wala usingeungurika eti mzuri wapiiiiiiiii wajidanganya kazi umbea tu fala wa kizeeeeeeeee umetutumka kama unakula zege unalo ilooooooo

    ReplyDelete
  18. Pole weeeeeee eti nimehongwa nawe ongeza ujuzi uhongwe,unafikiri mie kama wewe haa haaa mwenzio nimepigiwa goti bibi,Mke wa mtu tena MRS ORIGINAL.kazi kwako utaishiwa kuchezewa na hayo matakoyako ya kichina na huyo......,tehe tehe mwenzio mie V.I.P kwa MR wangu sijui weye vip kwa nani na mmepangwa kama mafungu ya nyanya,out hutolewi poleee.JAMANI MADEGE MENGI KUMBE NAWE DEGE TENA LISILOLIWA.haa haaa hapa umefika nitakunyoosha tu chezzea Mina Zangira weye kwanza hata hujulikani..kwi kwi hapa hata ukili fimbo zipo palepale na UKIUJUA HUU,ULE HUWEZI UTACHOKA MIGUU KWA UTEMBEZI.Mwenzio najiamini shost heee toa jina kama unajiamini,mi sikutukani hapa nakupa tu swaga za maneno mwanzo mwisho.TENAAAAAA MWANAMKE RECEPTION MATAKO HATA KUKU ANAYO. UPOOOOO HAPO CHUKUA HIYOOOOO.

    ReplyDelete