Aaww, dida shemeji kulikoni, na ramdam hii,,, mdada watanga hebu tete ndoa yako basi kila siku ndio mpya my sister, mmm yahusuu,,,sio sifa nzuri bwana sikwavile tumepewa uhuru wa talaka basi iwe tabu jamaniii,, he
Kama ni kweli,huzunika ILA usikate tamaa,mwenyez mung ndio mpangaj wa kila jambo,fanya kaz kwa bidii,inshaalah naamin wewe ni mdada mwenye uvumiliv,mungu atakupa subra,na kama Kuna njia ya kuyamaliza na Mumeo bac kaen chin muyamalize na msameheane
Kwanini alazimishe ndoa ka mwanaume anazingua? Kila mtu anapenda furaha mwaya ishi uonavyo ilimradi ww una amani sio kuogopa aibu wakati we ndo unaumia.
Jamani mbona umbea umewazidi kwa nini mnapenda kufatilia mambo ya watu amna kz za kufanya nyinyi mana mpo busy kweli kama kuna kampun inayowalipa vl duh dida ahashwe asiachwe nyie yawausu nini fanyeni yenu yake muachiemi mwenyewe mana wakati wanapendana nyie mlikuwa amjui lolote na hata kuachana pia msijue kama ndo mpo kazini poleni sana nitadili na boss wenu awakate mshara mana story zenyewe amna uwakika nazoooo hahaha mjini raha sanaaaaaa
Hivi nyie wanawake mnao mshauri na kumcheka au kumlaumu mwenzenu kuhusu ndoa yake mnaakili kweli? Nyie mmeolewa na mkacheatiwa na mkavumilia!?? Badala ya kumuweka kwenye sala zenu, mnaleta maneno yenu ya kitumwa! Mnaudhi kweli walahi
Dida my dear kama hayo yanayo semekana ni kweli, basi pole sana na muombe Mungu a kuongoze ili ufanye uamuzi wa busara. Ndoa ya 1..2..3...au ya mia nane haijalishi kikubwa ni amani ya nafsi. Allah anaichukia talaka lakini aliiruhusu inapo bidi, pole sana kwa mitihani my dear.
tuambie ukweli je hayo yanayosemwa kma umemfania mumeo ni kweli mie naumia sana nilikuwa nawapenda sana
ReplyDeleteVipi fumanizi. Pole sana
ReplyDeletepole yako bidada.talaka ya tatu......
ReplyDeletedida umetuvunja moyo sana mashabiki wako.
ReplyDeleteAaww, dida shemeji kulikoni, na ramdam hii,,, mdada watanga hebu tete ndoa yako basi kila siku ndio mpya my sister, mmm yahusuu,,,sio sifa nzuri bwana sikwavile tumepewa uhuru wa talaka basi iwe tabu jamaniii,, he
ReplyDeleteKama ni kweli,huzunika ILA usikate tamaa,mwenyez mung ndio mpangaj wa kila jambo,fanya kaz kwa bidii,inshaalah naamin wewe ni mdada mwenye uvumiliv,mungu atakupa subra,na kama Kuna njia ya kuyamaliza na Mumeo bac kaen chin muyamalize na msameheane
ReplyDeleteKwanini alazimishe ndoa ka mwanaume anazingua? Kila mtu anapenda furaha mwaya ishi uonavyo ilimradi ww una amani sio kuogopa aibu wakati we ndo unaumia.
ReplyDeleteDIDA WASIKUTILIE JASHO MUME HAKUWA ROHO YAKO USEME MKIACHANA UTAKUA. KAMA ANAKARAHA MPE NOTIS YAKE .WACHE GLOBL WAANDIKE. WALIANDIKA MANGAPI NA WEWE BADO NI DIDA TU-SASA MUME AANYE BAYA UUMIE KISA NA MKASA - WAKATALAKA IENDELEE
ReplyDeleteJamani mbona umbea umewazidi kwa nini mnapenda kufatilia mambo ya watu amna kz za kufanya nyinyi mana mpo busy kweli kama kuna kampun inayowalipa vl duh dida ahashwe asiachwe nyie yawausu nini fanyeni yenu yake muachiemi mwenyewe mana wakati wanapendana nyie mlikuwa amjui lolote na hata kuachana pia msijue kama ndo mpo kazini poleni sana nitadili na boss wenu awakate mshara mana story zenyewe amna uwakika nazoooo hahaha mjini raha sanaaaaaa
ReplyDeleteHivi nyie wanawake mnao mshauri na kumcheka au kumlaumu mwenzenu kuhusu ndoa yake mnaakili kweli? Nyie mmeolewa na mkacheatiwa na mkavumilia!?? Badala ya kumuweka kwenye sala zenu, mnaleta maneno yenu ya kitumwa! Mnaudhi kweli walahi
ReplyDeleteDida my dear kama hayo yanayo semekana ni kweli, basi pole sana na muombe Mungu a kuongoze ili ufanye uamuzi wa busara. Ndoa ya 1..2..3...au ya mia nane haijalishi kikubwa ni amani ya nafsi. Allah anaichukia talaka lakini aliiruhusu inapo bidi, pole sana kwa mitihani my dear.
Tuambie dida kweli umeachana na ezden?
ReplyDeleteride ndio mumeo sasa.
ReplyDelete