FROM THE AIRPORT STRAIGHT TO COCO TUMEMISS MISHIKAKI

Sunday, January 26, 2014 11 Comments

11 comments:

  1. ushamba mzigooooo.

    ReplyDelete
  2. Enjoy mama! ushamba mzigo wa nyoko, wewe ndio mshamba unaemuonea kijicho na wivu dida wa mie, jiachie mpenzi life is too short enjoy while you can!

    ReplyDelete
  3. Fungua blog yako anony wa kwanza na wewe u show off ..mwacheni ajifarague babuu, Kwa kawaida ukiingia ngomani waainuka wanaojua kucheza wee kaa mwache Dida afanye yake.
    Mungu atamjalia alifijkia maisha ya kitajir kaa kina Klynne ataacha yote haya yakuonesha hapa ,nahakika atafungua program yake Real housewives of Tanzania
    iko progra ya ma housewives wa ATLANTA,BEVERLY HILLS,
    Dida tesa kwa raha zako achana na wanaokatiza humu kaa wamekosea njia

    ReplyDelete
  4. Nice couple i love it!@

    ReplyDelete
  5. Watu wafipi malimbukeni kweli

    ReplyDelete
  6. jmn mapenz raha hwez amini nkivurugika huko naja blog yako napata km kmoyo flan kuwa nami 1 day yes.....mwaya endeleeni kupenda mpk hao wanaosubir meli ubongo wanyee halo furahia mazur ya mwenzako nawe upate kubarikiwa

    ReplyDelete
  7. Hapana chezea dida wakaaange,watajishtu roho

    ReplyDelete
  8. Watasubir boti airport jiachieni raha ya mapenz kupendana weeeeeeee

    ReplyDelete
  9. Dida nataka hivyo Viatu pliz

    ReplyDelete
  10. Msalimie ezdeny mi mate wake.town school na uhuru sec shy town.

    ReplyDelete