Fungua blog yako anony wa kwanza na wewe u show off ..mwacheni ajifarague babuu, Kwa kawaida ukiingia ngomani waainuka wanaojua kucheza wee kaa mwache Dida afanye yake. Mungu atamjalia alifijkia maisha ya kitajir kaa kina Klynne ataacha yote haya yakuonesha hapa ,nahakika atafungua program yake Real housewives of Tanzania iko progra ya ma housewives wa ATLANTA,BEVERLY HILLS, Dida tesa kwa raha zako achana na wanaokatiza humu kaa wamekosea njia
jmn mapenz raha hwez amini nkivurugika huko naja blog yako napata km kmoyo flan kuwa nami 1 day yes.....mwaya endeleeni kupenda mpk hao wanaosubir meli ubongo wanyee halo furahia mazur ya mwenzako nawe upate kubarikiwa
ushamba mzigooooo.
ReplyDeleteEnjoy mama! ushamba mzigo wa nyoko, wewe ndio mshamba unaemuonea kijicho na wivu dida wa mie, jiachie mpenzi life is too short enjoy while you can!
ReplyDeleteFungua blog yako anony wa kwanza na wewe u show off ..mwacheni ajifarague babuu, Kwa kawaida ukiingia ngomani waainuka wanaojua kucheza wee kaa mwache Dida afanye yake.
ReplyDeleteMungu atamjalia alifijkia maisha ya kitajir kaa kina Klynne ataacha yote haya yakuonesha hapa ,nahakika atafungua program yake Real housewives of Tanzania
iko progra ya ma housewives wa ATLANTA,BEVERLY HILLS,
Dida tesa kwa raha zako achana na wanaokatiza humu kaa wamekosea njia
Nice couple i love it!@
ReplyDeleteWatu wafipi malimbukeni kweli
ReplyDeletejmn mapenz raha hwez amini nkivurugika huko naja blog yako napata km kmoyo flan kuwa nami 1 day yes.....mwaya endeleeni kupenda mpk hao wanaosubir meli ubongo wanyee halo furahia mazur ya mwenzako nawe upate kubarikiwa
ReplyDeleteChezeaaaaa
ReplyDeleteHapana chezea dida wakaaange,watajishtu roho
ReplyDeleteWatasubir boti airport jiachieni raha ya mapenz kupendana weeeeeeee
ReplyDeleteDida nataka hivyo Viatu pliz
ReplyDeleteMsalimie ezdeny mi mate wake.town school na uhuru sec shy town.
ReplyDelete