NO FAKE NAILS NI ZA KUZALIWA .....

Sunday, January 26, 2014 8 Comments

8 comments:

 1. kucha zako za miguuni ni noma dida hapana chezea weweh...!!!ni nzuri sana

  ReplyDelete
 2. Mbona miguu imevimba dada, vp mama kijacho nini?

  ReplyDelete
 3. wewe huoni hata tumbo lake kubwa sasa kijacho hicho

  ReplyDelete
 4. amina msamvu mrs banza originalJanuary 29, 2014 at 2:56 PM

  Aaaaaaaa weraaaaaaaa.....mama kijachoooooo weeeee...piga kerereeeeee.....ezden jabaliiiiiii...

  ReplyDelete
 5. amina msamvu mrs banza originalJanuary 29, 2014 at 2:58 PM

  Weeeeeeeraaa makofi kwa edzeen tafadhali...kaka jabaliiiii uwiiiii ongera my cstr

  ReplyDelete
 6. mafupi ndo anpendeza maana hizo ndefu na viatu vya kufunika inakuwaje?

  ReplyDelete
 7. amina msamvu mrs banza orignalJanuary 31, 2014 at 10:00 AM

  Viatu vya kufunika ndooo kitu gani kwani Dida muimba kwaya aaaaaah msimchosheee mwacheni na kucha zake....lv u Mr n Mrs ezdeen

  ReplyDelete
 8. ila kucha za miguu zinapendeza zikiwa fupi, kwa mtazamo wangu

  ReplyDelete