TUMESHAFUNGA VIOO HATUSIKII WAJA MSEMAYO PENZI LETU LIMESHASIMAMA HATERS MTALALAMA HADI KIAMA, SISI HAPA KWETU RAHA KWA KWENDA MBELE ENDELEENI KUPIGA KELELE MIMI UZI WANGU ULEULE NI HALALI KWANGU HARAMU KWENU....

Thursday, December 12, 2013 8 Comments

8 comments:

 1. Mashaallah na wawa ache mpendane kwa raha zenu! mwenye chuki akasage chupa anywe!looooooooooool

  ReplyDelete
 2. acha ushamba dida kwani wewe ndo wa kwanza kuolewa? AU kutiwa na ezden, tulia siku yako inakuja na uitangaze kama unavyojitangaza sasa.

  ReplyDelete
 3. Hongera bi'dada.
  Hivi unampenda kama WALEEEEEE au zaidi ya WALE!

  ReplyDelete
 4. MOLA AWAAJAALIEMDUMU DAIMA
  ILA DIDA KIKUBWA OMBA MAJAALIWA YA MOLA SWALI NA OMBAENI KHERI WOTE UKIKAA KUFUMBAHUMU HAISAIDII KWANI WANAOKUCHUKIA LABDA WALIKUWA NAYE MWANZO .HAKUNA MWANAUME BIKRA .WOTE WALOOLEWA WAKAZIDUMISHA NDOA ZAO NI WALE WALOKAA KIMYA NA WAUME ZAO . NA KUOMBA KHERI
  MIE NDO SOMO YAKO LEO NYUMBA NI MAKUTI YA KUUNGA UNGA MDOGO WANGU
  NA MUME NI SAWA NA SHUKA UNALIKUNJA KILA UAMKAPO. JIFUNIKE BARID, JOTO LIKUNJEE.
  MIE MWAKA WA 10 SASA NA UJUZI WA KUIDUMISHA NDOA ILA WEWE UNA UJUZI WA MAPENZI YA KUOLEWA NA KUACHA/KUACHWA NA MAJIGAMBO.
  NAKUOMBEA KILA LA KHERI MUISHI NA MUMEO HAKUNA NDOA TAMU ISO NA MACHUNGU NA HAKUNA ASHINDWAYA KUWEKA MATAMU KTK NDOA YAKE NA KUKAWA KAKUNA MACHUNGU,
  ACHANA NA MAFUMB MIE NAWAPENDENI NA NAWAOMBEENI KHERI

  MDOMO NA SAUTI KAPEWA MWANADAMU MBONA MNAMA HAKUNAGI?KWAKUA HAJAALIWA SAUTI

  ReplyDelete
 5. Nice pic.mm penda sana ww hadija.m mungu akulindie.

  ReplyDelete
 6. hizi ndoa za magazetini huwa hazina mda mrefu hongereni.

  ReplyDelete
 7. Unaonekana hujiamini na huyo mwanaume

  ReplyDelete
 8. ALIKUKUTA BIKIRA NINI?

  ReplyDelete