NIACHENI NIMPENDE

Tuesday, December 10, 2013 7 Comments

7 comments:

 1. Mmependeza sana... wenye wivu wajinyonge, ukishikwa shikamana.

  ReplyDelete
 2. Apana chezea mama samira,, wakuache udeke umempata wa hadhiyako,, fumbeni adi macho msiwaone wapambe nuksu.

  ReplyDelete
 3. Kama washamba vile

  ReplyDelete
 4. Mbna mnajishuku sana katika mapenzi yenu tatizo nini hasa? Mara nyingi watu wanaojishuku ni watu wasiojiamini au hawaamini kilichopo

  ReplyDelete