HONGERA NDIMBO NA MARIAM KWA KUFUNGA NDOA

Monday, December 02, 2013 2 Comments

Watangazaji toka Times Fm 100.5 Clifford Mario Ndimbo na Bi Mariam David Kitosi wafunga ndoa na kufanya pati ya maana iliyohudhuriwa na marafiki, wafanyakazi wa Times, ndugu na jamaa mbali mbali ndani ya Nyumbani Lounge.
Fuatilia matukio yalivyokwenda katika picha hapa chini, karibu...

 
 Bwana na Bibi Clifford Ndimbo wakiwa katika nyuso za furaha.


 Basi wakati wanaingia ilipendeza hivi, kutokana na kitu kama show fulani hivi kwani walikua wanakwenda sawasawa...

 .....Walipozunguka walikwenda pamoja pia basi ilikuwa burudaani

 Kisha wakajipanga na kuimalizia show hiyo ilianza vizuri kabisa tangu wanaingia...

 Monalisa alikua ni kati ya waliofungua Champagne

 Na Champagne ikafunguka paap....... Monalisa katisha...


 Mr. Ezden The Rocker katika picha ya pamoja na maharusi wakati wa Cheers, japo ubavu wake haukuwepo lakini alikua poa tu na kampani ya wanafamilia ya Times Fm 100.5


 Anaitwa One B a.k.a Moko Biashara ambaye pia alikua ni moja kati ya washehereshaji wa shughuli hii. Hapa katika pozi na Monalisa

 Akipozi na Bi Harusi anaitwa Fadhili mtangazaji wa kipindi cha asubuhi, SUNRISE

 Hata boss aweza cheza muziki pia, Hellen akicheza na Bw. Harusi


 Niice, mlipendeza sana maharusi wetu, Munmgu awajalie maisha mema, mapenzi tele milele

 Ezden akipozi na Boss...

 Captain Gadna G Habash ambae ndiye aliyekua Mc. mkuu akifanya yake...

Ukafika muda wa kukata keki....


 DJ. Rguy kama kawa akiwakilisha katika mashine ambapo alikua akipokezana na DJ. Jorsbless

 Ndugu waalikwa...

 Katika kuhakikisha kua kila kitu kinakwenda sawa Ezden The Rocker alipiga speech fupi sana kabla hajawakaribisha waalikwa na maharusi klujumuika katika chakula cha jioni

 Kutoka Radio Mlimani anaitwa Shamim Mlacha nae alikuwepo akionyesha upendo kwa Ndimbo na Mariam

 Timu hatari ya Times Fm 100.5 DJ. K-U, DJ. Jorsbless, Gadna G Habash, Ezden The Rocker na One B.

 Meza ya Familia..


 Mtangazaji wa kipindi cha FILAMONATA Monalisa au Yvonne Cherry akipata dinner yake taratiiibu

 Mama wa Monalisa, Natasha ambae pia ni Co-Host ndani ya FILAMONATA akijumuika na wengine katika chakula cha jioni


 Mr. Marketing and I.T. Dickson...

 Raymond pia hakua nyuma katika sekta hii muhimu ya chakula..

 DJ. D-OMMY
A
 Omari Tambwe almaarufu kama LIL' OMMY
 Mokoo Bizness

 DJ. R Guy na Ezden The Rocker kwenye Buffet

 The Rocker na Captain...
 Zawadi ya Wana Times kwa maharusi

 Mke mtarajiwa wa Fadhili wa Sunrise, Bi. Jaque

 Fadhili, Mr. Sunrise akitoa zawadi


 Mama na Mwana... Cole

 Mama na Mwana..

 Sandra Temu a.k.a Sandy B PILLOW TALK akipozi na Bw. Harusi

Captain, Ibra na The Rocker...

2 comments: