AMSHA AMSHA TANGA NA TAMASHA LA MITIKISIKO YA PWANI 2013

Thursday, November 21, 2013 0 Comments

Tunawashukuru sana wakazi wa Tanga kwa kuupokea vizuri ujio wa Tamasha la MITIKISIKO YA PWANI 2013 ambalo litafanyika jumamosi ya tarehe 23 nadi ya Tanga na baadae tamasha hilo kufanyika Dar pia. Hapa ni baadhi ya picha za matangazo yanayoendelea ndani ya Tanga...


Na mimi mwenyewe pale kati kama kawa katika Amsha amsha hii, nipo ili kuongea na wananchi wa Tanga, nawapenda sana mashabiki wetu .......

0 comments: