BAADA YA IDDI SASA MWENDO NI ULE ULE WA KUTEMA CHECHE, NSTIRIRIKA KAMA MAJI YA MLIMA KILIMANJARO JIACHIE NAMI KUANZIA SAA SITA KAMILI 100.5 TIMES FM AU UNAWEZA KUNISIKILIZA KUPITIA WWW.TIMESFM.CO.TZ.

Thursday, October 17, 2013 7 Comments

7 comments:

 1. Dida nimependa hiyo trouser nyeupe hiyo shirt black na white vipo dukani kwako? Pendeza sana mamii!!

  ReplyDelete
 2. Mashaalwah Dida unawaka kaa mwanga .maana nikisema kaa taa huwa zazimika .
  umekonda vizuri .bsi tuwekee nyimbo mpya za Isha .
  mbona uko kumya na Isha mmeasiana au u busysio kama mwanzo

  ReplyDelete
 3. UMEPENDEZA MMMH NENE HAKUNA ILA NYWELE EMBU JARIBU KUTAFUTA VIWIG VIDOGO DOGO ,VINAKUONESHA KICHWA KIKUMBWA ILA DADA UMEPENDEZA SIUNAJUA KIZUR HAKIKOSI KASOO
  LOVE YOU MWAGA CHECHE TUPO WOTE
  WATUACHE TUBEBWE NA AMBULANCE
  MSEMO WA WATUACHE TULALE UMEPITWA NA WAKATI

  ReplyDelete
 4. Umepungua vizuri hiyo siri tupe wenzio kizuri kula na wenzio kibaya mtupie mbwa.shamim zeze.msemo.KKW

  ReplyDelete
 5. Umependeza sana Dida.

  Mama Tracey mdau kutoka Arusha

  ReplyDelete
 6. Mashaaalah!! Mi penda hiyo nywele ni wig au umeshonea? Jee wapii???

  ReplyDelete
 7. Umependeza mdada anayekataa ajitundike,love you so much.Napenda unavyojua kupangilia mavazi.

  ReplyDelete