tag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post452690630167969283..comments2023-11-20T08:17:37.138+03:00Comments on DIDA MITIKISIKO: BAADA YA IDDI SASA MWENDO NI ULE ULE WA KUTEMA CHECHE, NSTIRIRIKA KAMA MAJI YA MLIMA KILIMANJARO JIACHIE NAMI KUANZIA SAA SITA KAMILI 100.5 TIMES FM AU UNAWEZA KUNISIKILIZA KUPITIA WWW.TIMESFM.CO.TZ. DIDAhttp://www.blogger.com/profile/10805379008024996187noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-39796430035261311682014-04-27T08:55:58.614+03:002014-04-27T08:55:58.614+03:00Umependeza mdada anayekataa ajitundike,love you so...Umependeza mdada anayekataa ajitundike,love you so much.Napenda unavyojua kupangilia mavazi.Giftnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-62387739198945685092013-10-19T17:09:57.140+03:002013-10-19T17:09:57.140+03:00Mashaaalah!! Mi penda hiyo nywele ni wig au umesho...Mashaaalah!! Mi penda hiyo nywele ni wig au umeshonea? Jee wapii???Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-54926217613175502522013-10-18T16:42:18.437+03:002013-10-18T16:42:18.437+03:00Umependeza sana Dida.
Mama Tracey mdau kutoka Ar...Umependeza sana Dida.

Mama Tracey mdau kutoka ArushaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-43124836892411970682013-10-17T18:24:56.250+03:002013-10-17T18:24:56.250+03:00Umepungua vizuri hiyo siri tupe wenzio kizuri kula...Umepungua vizuri hiyo siri tupe wenzio kizuri kula na wenzio kibaya mtupie mbwa.shamim zeze.msemo.KKWAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-1009796373993020932013-10-17T18:06:40.193+03:002013-10-17T18:06:40.193+03:00UMEPENDEZA MMMH NENE HAKUNA ILA NYWELE EMBU JARIBU...UMEPENDEZA MMMH NENE HAKUNA ILA NYWELE EMBU JARIBU KUTAFUTA VIWIG VIDOGO DOGO ,VINAKUONESHA KICHWA KIKUMBWA ILA DADA UMEPENDEZA SIUNAJUA KIZUR HAKIKOSI KASOO
LOVE YOU MWAGA CHECHE TUPO WOTE
WATUACHE TUBEBWE NA AMBULANCE
MSEMO WA WATUACHE TULALE UMEPITWA NA WAKATIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-86838061079467201312013-10-17T18:02:34.314+03:002013-10-17T18:02:34.314+03:00Mashaalwah Dida unawaka kaa mwanga .maana nikisema...Mashaalwah Dida unawaka kaa mwanga .maana nikisema kaa taa huwa zazimika .
umekonda vizuri .bsi tuwekee nyimbo mpya za Isha .
mbona uko kumya na Isha mmeasiana au u busysio kama mwanzoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-55408019008327654192013-10-17T15:59:24.716+03:002013-10-17T15:59:24.716+03:00Dida nimependa hiyo trouser nyeupe hiyo shirt blac...Dida nimependa hiyo trouser nyeupe hiyo shirt black na white vipo dukani kwako? Pendeza sana mamii!!Mama 2 (Mrs M)noreply@blogger.com