A NIGHT OUT AT COCO BEACH

Sunday, September 22, 2013 18 Comments

This weekend was absolutely a remarkable one, we had such nice time with our "couple-friend" work mates Clifford Ndimbo and Maryam Kitosi at Coco Beach where fish barbecue and music played by DJ. Jorsbless goes down like that.....
 
  
At home before leaving to Coco Beach
 
 Clifford Mario Ndimbo chillin' with Maryam Kitosi


 That's what I'm talking about, Mishikaki ya Samaki....dah!!!


 DJ. Jorsbless akiwa on the one and two, doing his thing...


 Fun time, with full of things to LAUGH about.... That's how we do...


 After spending it all... we then left in pairs....

18 comments:

 1. Blog yako inasomwa na waswahili sasa huyu anayekuandikia description za kingereza anaupoteza.

  ReplyDelete
 2. u luk so nicely dida wit ur hubby,i real do admire u , all the best ,asiyejua umombo english course zipo, tupage raha sie tunakupata hewan ndan ya mitikisiko ya pwani

  ReplyDelete
 3. Walana wao kwa wao!!

  ReplyDelete
 4. hahaha mumewe ndio anaemuandikia... chezea.. tangu aolewe English kwa kwenda mbele..

  ReplyDelete
 5. Napita tu........ngoma ikivuma sana,enzi za Mchops tulikomajeee,tusubiri na huku

  ReplyDelete
 6. Dah shemeji na stail ya vidole viwili (pic&lov)..!!duh too much kila pic??? Other wiz mnapendeza!!!

  ReplyDelete
 7. actually zamani nilikuwa sikusomi kabisa but recently umeanza ku point ma attention,
  your man seem to be truely in love .i love the way you blogging recently ,keep it that way dida

  ReplyDelete
 8. kiswahili tafadhali najua unafanya mabadiliko ila humu bwana hatujazoea dida wenzio

  ReplyDelete
 9. Binadam mna mambo We Mwenyewe Kiswahili hujui cheki hapo mwishoni ulivyoandika! Toa boriti kwnenye jicho lako kwanza ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio!

  ReplyDelete
 10. Kweli kabisa Dida mwambie The Rocker aache kukuandikia kingereza, wacha uandike mwenyewe kwa lugha yetu tutiririkeeeee

  ReplyDelete
 11. shemeji kabeba take away ya konyagi.

  ReplyDelete
 12. hahah sikuwahi kujua kuwa hata dida nae kuna watu anawaumiza vichwa.kuna mdada mmoja mtafuta umaarufu mjini pili aogwa anahaha kutafuta izo sneakers.unaambiwa kamuagiza mtu china alivoambiwa bei elfu 40 eti ooh mbona ghali hahah nilichekajeeeee

  ReplyDelete
 13. Wewe unayemuongelea pili aogwa nazani humjui! Elf 40 wala sio tatizo kwake! Uliza wanaomjua! Kumbe anakukwachu eeee????

  ReplyDelete
 14. Fanya yakoo na mambo ya pili aogwa humu sio pahala pake! Uswahili wako peleka hukoooo! Huna lolotee unataka tuu kumchafua pili wa watu hanaga tabu na mtu!

  ReplyDelete
 15. Wewe unamyemdiss pili aogwa humu ushindwee tuulize tunaomjua pili aogwa wala hana shida ndogondogo elf 40 kwake wala sio inshu! Mfyuuuuu! Huna haya!

  ReplyDelete
 16. Nakutakia kila la heri ila navyojuaga ndoa za mishauo hazichelewi kula mieleka

  ReplyDelete
 17. Mnafanya kazi ofisi moja na mupenzi?mda mwingi mko wote

  ReplyDelete