SHOGA ALIYEOKOKA

Friday, September 13, 2013 12 Comments

Yule aliyekua kuokoka maarufu kama Anti Asu leo Alikuja katika kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI na kueleza kua ameamua kumfuata Mungu na kuokoka kabisa.  Tazama hapa alivyokuwa mwanzo katika picha alizoleta watu watazame wakati akiwa shoga kabisa. ..
 
Hapa baada ya kuokoka...
 
 


12 comments:

 1. mungu mweza yote jamn

  ReplyDelete
 2. Mungu aturehemu..hasira zake zipungue juu yetu. hmm

  ReplyDelete
 3. Mungu wetu ni wa upendo.umsamehe Kila aombae msamaha.nakuombea sana kwa Mungu usiludi ulikotoka,shika sana ulichonacho maisha ya duniani ni ya muda mfupi.kumbuka kua Mungu anakupenda sana Amos.usijali binadamu watakusemaje wewe ng'ang'ana kwa Yesu.Mungu akutie nguvu.

  ReplyDelete
 4. du! bora arudi kua shoga, hanazidi kuangamia kwa njia aloichagua.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hayo ni mwazo yako ya ubaguzi wa mamuzi ya dhamira ya dhati kwa mtu aliyejua kuwa ampendezi MUNGU.Amos uwamuzi Wako ni mkubwa pengine kuliko unavyofikiria na amini umempa furaha sana Mungu kwakuwa utakuwa taa na mwanga kwa wale wengi wanaopotea kwa kutenda ya mchukizayo muumba wetu.Sisi binadamu tunamatatizo na tunafikiri tunajua kila kitu mpaka maamuzi ya kimungu katika kutumia njia zake zakutumia watu walipotea na kumrudia yeye ili wawe mfano kwa wengine.Ndugu yangu uliandika njia aliyotumia ya kumjua Mungu amepotea ni mawazo mgando,na uvivu wa kufikiri pengine hata kuchagua ujui,unaweza kuwekewa mchele na mchanga ukachagua mchanga.Amos Mungu akubariki na usiteleke James.

   Delete
 5. sasa kajifanya dume la mbegu, kitu kikiwasha atafanyaje? au dida utamuuzia ya plastic.

  ReplyDelete
 6. inshallah mungu akusimamie na azidi kukutia nguvu kwasababu umejua kosa na umeamua kumrudia mung na kutubu yale yote uliyotenda ambayo ayakumpendeza mungu bas tunaamin mungu atakusamehe, zidi tu kumcha mungu wako ndio iwe ngao yako katika maisha yako

  ReplyDelete
 7. Mungu wetu Ni mwema achagui dhambi yakusamehe anamsamehe kila anayetubu

  ReplyDelete
 8. inshaallah Mungu atakusaidia na atakuongoza katika maisha ambayo umeyaona kua ndio bora kwako ameena inshaallah

  ReplyDelete
 9. MUNGU ni mwema,na husamehe na kusahau.MUNGU akutie nguvu.

  ReplyDelete