FUSE ODG IN DAR

Saturday, September 07, 2013 8 Comments

Yule msanii aliyekua akisubiriwa kwa hamu toka Ghana Fuse ODG amekuja tayari na yupo Bongo kama unavyoona tumepozi nae hapa kwa picha, cha msingi jiandae na show pale Ustawi Wa Jamii kesho...
 
 Kutoka kushoto no Fuse ODG, wa katikati ni manager wake na Ezden The Rocker
 
 Swag za Mrs. Ezden
 
Azontoooo LIVE in Dar

8 comments:

 1. Dida umetisha mbaya dadaake,,lzma nije kuicheza live azonto ustaw leo..hapan chezea azonto kabisa!Rukia from yombo

  ReplyDelete
 2. Dida km ni mazoezi wajitaidi chini upo safi ila mkono ongeza juhudi sn coz unafanya unakuwa mkubwa juu jitaidi kukata nyama za mkono izo yani mkono upungue nyama.Nimeona kwa shamimu picha ya kitcheni party ya ndoa yako ya kwanza mwanawane ukiweza kurudia kale kamwili UTATISHA SN hakuwa mwembamba sn ila ulikuwa unapendeza zaidi. Ni ngumu i knw but u cn if u want. Cjui kwanini Ezden hakukupata enzi zile walai you 2 luk very very gud 2gether . POINT NI KWAMBA KATA MWILI MZIDI KULANDANA KM QEEN B NA GIGGA .all in all u ar doing great

  ReplyDelete
 3. kulandana kunazidisha mapenzi we mdau hpo juu mbona wa ajabu.....dida umenoga sana mpz

  ReplyDelete
 4. Kababyyyy kachunaaaaa

  ReplyDelete
 5. dida wakati umefika wa kumletea samira mdogo wake kama alivyokwambia anataka mdogo wake muda muafaka umefika huna la kujitetea samira anataka kuitwa dada nayeye

  ReplyDelete
 6. dida wakati umefika wa kumletea samira mdogo wake kama alivyokwambia anataka mdogo wake muda muafaka umefika huna la kujitetea samira anataka kuitwa dada nayeye

  ReplyDelete
 7. Bi asha mwanao akitaka mdogo utamzalia tu? Dida ana mume na wana plan zao wakiona muda umefika wataamua ila ww achana na kuplan familia za wengine

  ReplyDelete