tag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post2168703675991741936..comments2023-11-20T08:17:37.138+03:00Comments on DIDA MITIKISIKO: SHOGA ALIYEOKOKADIDAhttp://www.blogger.com/profile/10805379008024996187noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-30761429928081919162013-12-19T14:45:31.897+03:002013-12-19T14:45:31.897+03:00MUNGU ni mwema,na husamehe na kusahau.MUNGU akutie...MUNGU ni mwema,na husamehe na kusahau.MUNGU akutie nguvu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-9273346912081084642013-09-15T18:27:33.320+03:002013-09-15T18:27:33.320+03:00inshaallah Mungu atakusaidia na atakuongoza katika...inshaallah Mungu atakusaidia na atakuongoza katika maisha ambayo umeyaona kua ndio bora kwako ameena inshaallahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-87003712588836867372013-09-14T13:49:10.833+03:002013-09-14T13:49:10.833+03:00Mungu wetu Ni mwema achagui dhambi yakusamehe anam...Mungu wetu Ni mwema achagui dhambi yakusamehe anamsamehe kila anayetubuAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/08802528931818281968noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-68973839304869123072013-09-14T10:30:47.139+03:002013-09-14T10:30:47.139+03:00Hayo ni mwazo yako ya ubaguzi wa mamuzi ya dhamira...Hayo ni mwazo yako ya ubaguzi wa mamuzi ya dhamira ya dhati kwa mtu aliyejua kuwa ampendezi MUNGU.Amos uwamuzi Wako ni mkubwa pengine kuliko unavyofikiria na amini umempa furaha sana Mungu kwakuwa utakuwa taa na mwanga kwa wale wengi wanaopotea kwa kutenda ya mchukizayo muumba wetu.Sisi binadamu tunamatatizo na tunafikiri tunajua kila kitu mpaka maamuzi ya kimungu katika kutumia njia zake zakutumia watu walipotea na kumrudia yeye ili wawe mfano kwa wengine.Ndugu yangu uliandika njia aliyotumia ya kumjua Mungu amepotea ni mawazo mgando,na uvivu wa kufikiri pengine hata kuchagua ujui,unaweza kuwekewa mchele na mchanga ukachagua mchanga.Amos Mungu akubariki na usiteleke James. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-48388748831524818662013-09-13T20:30:37.720+03:002013-09-13T20:30:37.720+03:00AmenAmenIpyana Mwaipajahttps://www.blogger.com/profile/15824607528601774313noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-20804538634087606742013-09-13T16:18:42.686+03:002013-09-13T16:18:42.686+03:00kweli mungu ni mwemakweli mungu ni mwemajanetfashionsandstyleshttps://www.blogger.com/profile/15404654741227669456noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-84141063183413298502013-09-13T12:46:38.519+03:002013-09-13T12:46:38.519+03:00inshallah mungu akusimamie na azidi kukutia nguvu ...inshallah mungu akusimamie na azidi kukutia nguvu kwasababu umejua kosa na umeamua kumrudia mung na kutubu yale yote uliyotenda ambayo ayakumpendeza mungu bas tunaamin mungu atakusamehe, zidi tu kumcha mungu wako ndio iwe ngao yako katika maisha yako zaynab kassongonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-10063504915489272782013-09-13T12:11:03.996+03:002013-09-13T12:11:03.996+03:00sasa kajifanya dume la mbegu, kitu kikiwasha atafa...sasa kajifanya dume la mbegu, kitu kikiwasha atafanyaje? au dida utamuuzia ya plastic.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-26605595613573864122013-09-13T12:09:13.331+03:002013-09-13T12:09:13.331+03:00du! bora arudi kua shoga, hanazidi kuangamia kwa ...du! bora arudi kua shoga, hanazidi kuangamia kwa njia aloichagua.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-29216060930798760382013-09-13T11:58:10.414+03:002013-09-13T11:58:10.414+03:00Mungu wetu ni wa upendo.umsamehe Kila aombae msama...Mungu wetu ni wa upendo.umsamehe Kila aombae msamaha.nakuombea sana kwa Mungu usiludi ulikotoka,shika sana ulichonacho maisha ya duniani ni ya muda mfupi.kumbuka kua Mungu anakupenda sana Amos.usijali binadamu watakusemaje wewe ng'ang'ana kwa Yesu.Mungu akutie nguvu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-1232695812244393222013-09-13T11:46:55.360+03:002013-09-13T11:46:55.360+03:00Mungu aturehemu..hasira zake zipungue juu yetu. hm...Mungu aturehemu..hasira zake zipungue juu yetu. hmm Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-4835305974137775401.post-24990647040173971262013-09-13T10:12:59.707+03:002013-09-13T10:12:59.707+03:00mungu mweza yote jamn mungu mweza yote jamn Anonymousnoreply@blogger.com