MALI MPYA @ DIDA CLASSIC BOUTIQUE

Thursday, September 05, 2013 13 Comments

Tembelea dukani kwetu ujipatie brand new shoes... kama unavyoona hapa sample,bei nafuu sana ukitaka mpk mikoani nawatumia kwa jumla lakini hata uwe wapi,kwa jumla nauza 25,000 na reja reja 35,000 karibuni sana na nawashukuru watu wa mikoni kwa kuniunga mkono miko hii naiheshimu sana maana wameniungisha sana sana kwa mizigo ya jumla..... TANGA,IRINGA,ARUSHA, MOROGORO NA DODOMA Nitawatumia mpk mlangoni kwako nawashukuru sana Mungu awabariki sana....

13 comments:

 1. vizuri jee sasa!! tupe na bei best,,alafu mtu akitaka vingi kwa bei ya jumla utamuuzia.i wish ungekuwa unaleta mzigo huku Arusha.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Heeee kwani hujui kusoma???? Mbona bei ipo ya jumla na rejareja, na amesema wa mikoani anawaletea hadi mlangoni, na huo mkoa wako wa arusha umetajwa tena kwa herufi kubwa, lakini bado unauliza, makubwa haya.

   Delete
 2. Mambo dida.vile viatu vya zara viliisha au vipo? Na je kama vipo ni sh ngapi?

  ReplyDelete
 3. Jumla ni kuanzia pea ngapi?

  ReplyDelete
 4. jumla kuanzia pea kumi mpendwa wangu.

  ReplyDelete
 5. jamn via2 vizur sna hongera dia.... Thn naomba unijbu et huku kwetu Tanga times fm mbona hamtuletrl jamn cz mie mpnz wa kipnd chako sana plz reply ma msg wngu..... I lov u, 9c tym.....

  ReplyDelete
 6. Dida kama mtu anataka pea 5 kwa jumla inawezekana?

  ReplyDelete
 7. Nice viatu. .. hongera dida. . Uwe watembea na baadhi kwa gari tukikutana mtaani tununue mpendwa .. vizuri sana. .

  ReplyDelete
 8. viatu vizuri...mimi nahitaji converse nyeusi kama ile ya kwa picha yako,nauliza kama vipo dukani kwako maana nahitaji na bei yake ni kiasi gani

  ReplyDelete
 9. Mi nina mguu mdogo sana 36/35 nitapata size? Naomba jibu .

  ReplyDelete
 10. Mimi nataka viatu virefu dada dida last time uliwk picha hp ya viatu virefuu vzrii tkw tunapiga simu ikawa haiptkn uiliyowk kwny blog mm tunaogopa kufunga safari mpk huko tukute havipo! Niko mm Na rfk yngu Kwa ajili ya gradu je tutapt( high heels) n price je?? Km vipo tujisogeze dada yngu!

  ReplyDelete
 11. napenda kufanya mapenzi na mijimama.sina ajenda ya siri, laa hashaaah waungwana ila ni kitu ambaciho nimekuwa nikikitamani kwa muda mrefu.nina miaka 23 pia simjui mwanamke.KWA wale watakaopenda kunishauri tuonane kupitia email yangu onfiredj14@gmail.com.

  ReplyDelete
  Replies
  1. we fala kweli wewe, wenzio wanaongelea vitu vya maana we unaandika upumbavu, jinga weee!!!!

   Delete