WIKIEND HII @ NYUMBANI LOUNGE

Monday, August 26, 2013 6 Comments

Wikiend hii ilikua freeesh pale Nyumbani Lounge kwa Lady Jay Dee na Machozi Band

Kiatu cha weekend hii sasa..... ndo kile kile kilichomuangusha Lady Gaga Airpot

 Moto ni ule ule na mapenzi ni yaleyale.... 

Kupendana kule kule....

Hapa niki-hojiwa na Sarah Hassan mtangazaji wa kipindi cha MASHARIKI MIX cha AFRICA MAGIC kuhusu Lady Jay Dee, 

Hapa nikiwa na Nora


Ezden akiwa na Lady Jay Dee

 Wifi in the building, dada wa Ezden Bi. Halima a.k.a H4


Mtu na wifi ake sasa pale kati



Ha ha ha haaa that was crazy, Mgosi Mkoloni akiwa katika pozi na Ezden






6 comments:

  1. Hongera da dida jitaidi kumhandle shemeji atulie maana na mi mdowako nimeolewa najitaidije watu waliesabu siku,mwezi,mwaka sasa unakatika wananunajeeeeeeeeeeee!!!

    ReplyDelete
  2. Hapana chezeaa dida WA ezden wakuwacheeeeee

    ReplyDelete
  3. Umependeza mno Dida,kiukweli we na shemeji mnaendana yan mpk nawatamania!!muombe mungu kila cku ndoa yako idumu best....

    ReplyDelete
  4. u luk so gud dida with ur hubby, i real appriciate u ,love u uuuuuu ming ming....mdau sinza mori

    ReplyDelete
  5. safi sana sana Dida ,happy for you yaani naona una furaha unaonekana hata usoni ,..Mungu awasaidie,na raha kupendwayaani hapo jiachies,heshima ndio msingi mzima

    ReplyDelete
  6. mmependeza sana. mwambie shemeji pozi hilo la picha linatosha, sasa atuletee lingine. ila you are such a bautiful couple! SALUTE

    ReplyDelete