WIKIEND HII @ NYUMBANI LOUNGE
Wikiend hii ilikua freeesh pale Nyumbani Lounge kwa Lady Jay Dee na Machozi Band
Kiatu cha weekend hii sasa..... ndo kile kile kilichomuangusha Lady Gaga Airpot
Moto ni ule ule na mapenzi ni yaleyale....
Kupendana kule kule....
Hapa niki-hojiwa na Sarah Hassan mtangazaji wa kipindi cha MASHARIKI MIX cha AFRICA MAGIC kuhusu Lady Jay Dee,
Hapa nikiwa na Nora
Ezden akiwa na Lady Jay Dee
Wifi in the building, dada wa Ezden Bi. Halima a.k.a H4
Mtu na wifi ake sasa pale kati
Ha ha ha haaa that was crazy, Mgosi Mkoloni akiwa katika pozi na Ezden
Hongera da dida jitaidi kumhandle shemeji atulie maana na mi mdowako nimeolewa najitaidije watu waliesabu siku,mwezi,mwaka sasa unakatika wananunajeeeeeeeeeeee!!!
ReplyDeleteHapana chezeaa dida WA ezden wakuwacheeeeee
ReplyDeleteUmependeza mno Dida,kiukweli we na shemeji mnaendana yan mpk nawatamania!!muombe mungu kila cku ndoa yako idumu best....
ReplyDeleteu luk so gud dida with ur hubby, i real appriciate u ,love u uuuuuu ming ming....mdau sinza mori
ReplyDeletesafi sana sana Dida ,happy for you yaani naona una furaha unaonekana hata usoni ,..Mungu awasaidie,na raha kupendwayaani hapo jiachies,heshima ndio msingi mzima
ReplyDeletemmependeza sana. mwambie shemeji pozi hilo la picha linatosha, sasa atuletee lingine. ila you are such a bautiful couple! SALUTE
ReplyDelete