DILLISH AMALIZA UBISHI WA BIG BROTHER NA 300,000$

Monday, August 26, 2013 1 Comments

Mwakilishi toka nchini Namibia aitwae DILLISH MATHEWS ndiye aliyejibebea mkwanja mreeefu wa BIG BROTHER AFRICA "THE CHASE" baada ya kuwadondosha washiriki wenzake wanne kwa kura nyingi zaidi. 


Katika Top 5 waliokua wamebakia ni MELVIN na BEVERY (Wote wa Nigeria) ambao pia walikua wamepewa nafasi kubwa na wafuatiliaji wengi wa BBA na kufikiri huenda tena NIGERIA wakapeleka pesa kwao lakini mambo yalibadilika baada ya IK OSAKIDUWA ambaye ndie host wa Big Brother kuwataja kua evicted wakiwa pamoja na mshiriki toka Ghana, ELIKEM na kuwaacha DILLISH na CLEO mshiriki toka ZAMBIA ambae ndiye aliye kamata nafasi ya pili.

CLEO wa ZAMBIA 

Kwa waliokua wanafuatilia CLEO ameonyesha sehemu kubwa ya kipaji chake, na wakati wa PARTY ya Jumamosi moja alikua-suprised baada ya DJ kucheza video yake mpya ambayo hata yeye alikua hajaiona. Unaweza kuitazama kwa ku-clik hapa           CLEO VIDEO iitwayo BIG DREAMS aliyomshirikisha msanii aitwae JK, Japo kuna story ilisambaa katika mitandao ya Afrika Kusini jana kua yule mpenzi wake aliyekua anamsubiri nje HAKEEM wa Zimbabwe ali-kiss na HUDA toka KENYA usiku mmoja kabla ya fainali walipokutana wote South Africa. Duh!!! Kama unataka kuielewa zaidi hiyo story, isome hapa           UMBEA SAUZI 
Tunampongeza sana DILLISH kwa kushinda na CLEO pia tunamtakia mafanikio mema katika muziki wake. Pia Biggup sana kwa Nando na Feza Kessy.

1 comment:

  1. Daaah mungu kweli mkubwa utasema alikuwa akijua nnavyompenda dilisha. Cause anajua kukaa na watu sana mule big brother kama jamani mkiangalia vinzuri huyu dada pia mzuri san jamaniii

    ReplyDelete