TIME TO STAY IN SHAPE

Tuesday, August 20, 2013 11 Comments

Mazoezi yana mchango mkubwa sana katika afya na mwonekano wa mwili jamani. Baada ya kupumzika kwa muda kidogo sasa I am back to my gym schedule as usual, tena this time around with these brand new gears on my feet...
 Straight from Hong Kong... I call them wheels.....
Tukutane Gym jamani, nawapendaaaaaaaa

11 comments:

 1. Bora mwanangu ujirekebishie mwili. Maana mijitu imekaria kusema wezao hata mazoezi ya mdomo hawana. Jipe raha zako mammy yangu kwa raha zako. Bata sana, mlo sana na gym kwa kwenda mbeleee haya sasa vijuso mpooo. Maana mmeumbwa kuyataka kuyajua ya wezenuuuuu hahahaha didah ndio huyoo gym na wewe nenda basi kakimbie hata karume.

  ReplyDelete
 2. Jamani nakupendaje Dida jamani...... yaani hapa niko kwa ofisi nasikiliza mitikisiko leo umeanza na wimbo mzuri wa Zuhura Shabani... Mambo ya Zanzibar Stars... Kila jambo la kher uwenda na kheri .... Nakupenda sana

  ReplyDelete
 3. nimekaa stand by kila saa napita huku nangojea viwalo vingine vifunguliwe nitume order iliyokamilika... mdau Arusha.

  ReplyDelete
 4. Hahaha nimekupata mpenzi... naona umenirusha yaani kipindi chako kikianza naonaga hata sina stress za kazi..... wakuache miaka mia nane...

  ReplyDelete
 5. Hahaha nimekupata na maneno yako Dida.... Kwa raha zetu kwa shida zao babu... Lanikoshaje hilo lijimbo jamani... Yaani hamna hata siku moja sijatembelea hii blog yako.. Jana ulitangaza umepewa zawadi ofisini kwako basi kila wakati na hamu ya kuona hiyo zawadi... Mpendeza jamani na mumeo mashallah.

  ReplyDelete
 6. hahaha una maneno mpenzi wangu.. kweli hicho kipaji jamani.... mpinzani hakuna jaman... Maneno yako tuu Boss ananiuliza unacheka nini? nmebaki hapana Boss

  ReplyDelete
 7. unanikoshaje
  dida hapana chezeya dida wewe maneno yako tu yananifanya nisikose
  kusikiliza kipindi chako ata siku moja yan na nikikikosa uwa raha sina
  ,wakuache jaman miaka miaaaa mama ya ezden, na huu wimbo umenikoshaje wa
  siadhiriki watupa rahaaaaa
  mdau wako sinza mori big up sanaaaaaaa

  ReplyDelete
 8. bora upungue, unatisha.

  ReplyDelete
 9. NOW U AR TALKING KATA MWILI KATA MWILI

  ReplyDelete
 10. Kwakweli me nampenda mno dida huku bi hindu mpaka nacheka

  ReplyDelete
 11. Dida samahani lakini. Hicho kiatu sio cha mazoezi na pia ni cha kiume. Tafadhali tafuta cha kike. Utakijua tu kwa rangi pia shape yake ukienda dukani. Asante

  ReplyDelete