SPECIAL DELIVERY ZA DIDA CLASSIC BOUTIQUE

Thursday, August 08, 2013 7 Comments

Assalam Alleykum wapendwa, dada yenu bado naendelea kukusanya vile muhimu kwa wateja wa DIDA CLASSIC BOUTIQUE. Kuna vingi sana lakini hapa tazama kwa uchache tu... Inshaallah!!

Zipo stockings ndefu kabisa rangi tofauti na nyingine zina rangi ya ngozi kabisa,
 
 A Black stocking, sasa zipo ndefu pia ukihitaji

 Stocking nyingine pia ambayo rangi yake ina karibiana na ilr ya ngozi... zipo aina nyingi

 Really nice shoes...
Kwa wale wapenda SKIN TIGHT basi zipo nzuri sana na za kila rangi na material mazuri kama ujuavyo DIDA CLASSIC BOUTIQUE kwetu sisi QUALITY kwanza.....

 Naishia hapo kwa sasa pitia tena baadae kidogo...

7 comments:

 1. Waleykum Msalaaam bidada. Haya tupege hayo mabei ya viatu pic no 3 zara n pic no 5.

  ReplyDelete
 2. Duh hizo skin tight ndo mambo na flat shoes yani ukitua tu utupe taarifa mwaya..

  ReplyDelete
 3. Dada naomba unielekeze duka lako lipo sehemu gani plz

  ReplyDelete
 4. Yani sikukuu Yote mumeo kala peke yake jamani.

  ReplyDelete
 5. dida hebu naomba whatsapp number yako basi kuna kitu nataka kukuagiza.if u can send to me through manyanga22@yahoo.com

  ReplyDelete
 6. Bei.jaman ya viatu simpo hizo sh ngapi plz tel me...

  ReplyDelete