MZIGO MUPYA KWA DIDA CLASSIC BOUTIQUE...KARIBUNI

Tuesday, August 13, 2013 9 Comments

Kwa mahitaji yote ya viwalo vikali juu mpaka chini, tembelea duka letu liliolopo Kinondoni Studio kwenye kona ya kwenda Mwana Nyamala utaona bango limeandikwa DIDA CLASSIC BOUTIQUE. Sasa kuna mzigo mpyaaaaaa kabisa ndio kwanza umeingia. Karibu sana uje uone kilichomo kwenye mabegi haya....

 Kwa wenzetu huku jamani hapa ni Airpot muada mfupi kabla sijaruka kurudi Bongo




Na kwa yoyote mwenye swali au ushauri anaweza kupiga hii namba 0712-775150 atapata msaada kuhusu DIDA CLASSIC BOUTIQUE na bidhaa zetu.

9 comments:

  1. Inshaallah allah akufikishe salama safari yk.mdau kutoka Belgium

    ReplyDelete
  2. dida thnks kwa kutuletea mambo mazuri, ila naomba ungekuwa unaweka na price ili kabla hatujafika dukani tujue tunaondoka na sh ngapi.

    ReplyDelete
  3. ehh hivi hiyo suruali inabadilika rangi wakati unaondoka nimeona nyeusi umepanda ndege naona nyeupe duuu<kweli wewe mkali dida

    ReplyDelete
  4. DIDA SAMHN LKN HIZO RABA ULIZOZIVAA ZIPO KWENYE MZGO OR UMEJIPENDELEA MWENYEWE NATAKA NIJE IJUMAA MUNGU AKIPENDA NINUNUE HIZO RABA.

    ReplyDelete
  5. sjawahi kucomment humu ndani, ila kwa kweli Dida hzo raba ni tamu haswaaa,zipo dukani?

    ReplyDelete
  6. mimi nimependa izo raba je zipo dukan kwako

    ReplyDelete
  7. hapana chezeyaaaa mama ya ezden pendeza weeee

    ReplyDelete
  8. zile simpo za zara ntapata za njano?vphiyo tshirt uliovaa pia ntapta dukan kwako na je ni sh ngapi

    ReplyDelete
  9. kwahiyo mko jirani na hussen pambakali? ila naona kama kwako nguo ni nzuri sana

    ReplyDelete