SALAAM KWENU NDUGU ZANGU....MUCH LOVE

Wednesday, August 14, 2013 19 Comments19 comments:

 1. I appreciate hiyo couple yenu jamani, Mwenyezi Mungu awasimamie katika ndoa yenu wabaya wasipate nafasi, Nawatamani nyie mpendane leo mpaka kesho kiama.

  LOVE U MR & MRS EDZEN.

  its me Iddah

  ReplyDelete
 2. nice coupleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....love u ming ming dida

  ReplyDelete
 3. Pendeza sana jamani Mr & Mrs Ezden. Love u sana

  ReplyDelete
 4. Alhamdulilah nimeamini nyie ndio wapendanao acha watu wapasuke midomo hayo nimaisha yenu na si ya mtu mwingine acheni wayu wachonge mmeendana na kupendezana sana chuki maneno lazima ya wepo ni uvumilivu nawapenda nice couple ishallah mungu awajaalie zibeni masikio viruka njia ndio hawa hawa na wenye midomo ndio hawa hawa mungu awabariki sanaaa

  ReplyDelete
 5. MDAU HAPO JUU UMEGONGA IKULU MAISHA YA DIDA NI YA MUMEWE NA YA MUMEWE NI YA DIDA SABABU NI MWILI MMOJA KWA SASA KAMA MIMI NA MUME WANGU TUNA MWAKA WA TATU MIMI NDIO MWENYE KIPATO ILA SABABU NIMEMPENDA NA NDOA YA KIDINI CHANGU CHAKE NA CHAKE CHANGU TUNSPIGANA TAFU VITU VINGI SANA MAISHA YA SASA NI KUSAIDIANA SIO UNAMUACHIA MWANAUME TU SIWAJALI WALICHONGA SANA JUU YETU MPK LEO TUPO DIDA MPENDE MUMEO TENA SANA SANA MDAU NIMEKUPENDA BURE.

  ReplyDelete
 6. MashaAllah mnaendana sana tu. msiige maisha ya watu wengine nyie ni waislamu bar\pombe za nini ndani ya nyumba yenu?? mnajitia mabalaa wenyewe.

  ReplyDelete
 7. Love u much much....

  ReplyDelete
 8. Safi sana sana dida mungu awepe maisha marefu muwe na ndoa ya furaha penda nyie mingi mingi wambea watajijuuuuu

  ReplyDelete
 9. MDADA QUALITY CENTERAugust 15, 2013 at 12:24 PM

  HAPO UMEPATA UNAENDANA SANA NA MUMEO WOTE WAMESEMA MNAJUA KUZITAFUA NA PIA MNAJUA KUZITUMIA NYUMBA YENU SAFI SANA HADI RAHA HAYO NDIO MAHABA DIDA NAJUA UNAFURAHA SANA NA AMANI KWENYE NDOA YAKO MUMEO ANAONEKANA ANAKUPENDA NDIO MAANA UNAMUWEKA ADHARANI KWA RAHA ZENU WANAUME WENGINE WASHAMBA WA WANAWAKE MJINI UTAFIKIRI WANAWAONA LEO PENDANENI SANA QUALITY CENTER TUNAKUFAGILIA SANA SANA FIDA UTISHI NA MTU MTADUMU KWA UWEZO WA MUNGU TUNAWAPENDA NA MUMEOOOOOO.

  ReplyDelete
 10. napenda nyumban kwenu pasafi sana hongera bidada

  ReplyDelete
 11. Dida umependeza sana na mumeo, vizabizabina wawaache miaka 10000............. Naomba kuuliza hizo ulizovaa na viatu vyake vipo pale DIDA CLASIC? Pls nijibu maana nimezipenda munoooooooo hizo pigo, nikitanga lazima bwankanka aniambie leo nakuendesha adi job na kukufata. pls naomba ziwepo nije maana nimezipenda hatari.

  ReplyDelete
 12. Mungu awajalie jmn muishi mpk kifo kiwatenganishe...... nice couple kwakweli daaa

  ReplyDelete
 13. Hadi rahaaa jamani! Nimewatamani bureee

  ReplyDelete
 14. Yaani sipati picha wenye vijiba vya roho wanavyo hangaika pendeza Sana mr&mrsezeden

  ReplyDelete
 15. Dida wa ezden mnabaraka sana kwenye ndoa yenu mnatufanya tupende kuwaona kwenye blog jamani kila mtu anawaombea ndoa njema ujue inabaraka sana mungu mkubwa msiache kumuomba kila siku

  ReplyDelete
 16. Hongereni mr&mrs ezden mmetishaaa

  ReplyDelete
 17. Mi nimependa hvo vikuku vyako, dukani kwako vipo? Please respond asap.

  ReplyDelete
 18. Vimeisha vikuku mamito wangu

  ReplyDelete