MWANAMKE KAZINI....

Thursday, August 15, 2013 12 Comments

12 comments:

  1. Pendezaaaaaa sana umepungua viziri dida usinenepe embu tupe siri ya kuwa mdogo mdogo ivyo pls.

    ReplyDelete
  2. Mdau Uk( TeamDidawaZ...August 15, 2013 at 9:58 PM

    Mi penda sana nyie

    ReplyDelete
  3. Naomba unitajie bei ya zle chupi Dida pliz

    ReplyDelete
  4. WADAU NATUMAI MKO POA NAWAPENDA SANA SASA KUNAVRABA NA VISHATI NILIVAA WAKATI NARUDI VITAPATIKANA MZIGO UNAOKUJA MSIWE NA SHAKA NA KUHUSU BEI 1:SIMPLE SHOES 35, 000, SKIN TITE 30, 000, POCHI 60, 000 NS POCHI 65, 000 VITU VIPO VINGI UJE TU TUTAELEWANA BEI SIO KUBWA KABISA, NASHIKURU KWA USHAURI WENU NITAFANYIA KAZI KILA MNACHONIELEZA AHSANTENI..

    ReplyDelete
  5. Dida jamani mbona utaki kutuambia unatumia nini na siye tupungue kama wewe jamani,waswahili wanasema kizuri kula na mwenzio usiwe mchoyo bana...!

    ReplyDelete
  6. SIWEZI WANYIMA WADAU WANGU KUTANA NA HUYU DOCTOR STANLEY ATAKUSAIDIA SANA NI JINSI GANI UNAWEZA KUPUNGUA NA USILE VYAKULA GANI PLS KWA YRYOTE ANSYETA KUPUNGUA NA KUWA NA MUONEKANO MZURI NAMBA IYO 0766837030

    ReplyDelete
  7. ahsant dada! aka mama ezden! mumy sisi wa mkoani huku unaweza kututumia mzigo nikihitaji? kwa mfano nimevipenda sana viatu vya zara na blauz yako ya blue ulovaa juzi ukiwa na ezden. na pia chupi za kubana tumbo as wel as pochi! mie nko arusha. je? inawezekana kufanya hivyo ili tuwasiliane namna ya kutuma pesa? nashukuru umeweka bei za vitu tujue tunajipangaje! samahani kwa gazeti! naomba majibu..

    ReplyDelete
  8. Asante sana dida kwa sisi vibonge tunaotaka kupungua tutampigia dctr....umependeza mamie

    ReplyDelete
  9. Love u more dida,msalimie samiah

    ReplyDelete
  10. Dida tuambie ni kiac gan kumuona hyo dr maana wengine tuko mbali ili tutuwasiliane nae kwa cm then tumtumie pesa yake pls. me nipo tanga

    ReplyDelete
  11. Mpigie tu hana mambo ya hela mpendwa atakushauri mtaelewana

    ReplyDelete