MABESTE APATA MTOTO WA KIUME

Saturday, July 20, 2013 4 Comments

Msanii wa Kizazi kipya toka lebo ya B-HITS leo amekua baba rasmi baada ya mkewe mtarajiwa LISA kujifungua mtoto wa kiume.


Click hapa LINK uwaone wazazi hawa wapya na Mabeste akielezea sababu ya mtoto wao kuitwa Kendrick 


4 comments:

  1. hongera mabest mungu awakuzie mtoto wenu wadau nauliza baby mama wa diamond vipi yeye? mimba yake haijafikia? mwenye kujua anijuze.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Baby mama wa diamond imekuwa bahati mbaya

      Delete
  2. we nae ulikuwa wapi ulikuwa unaumwa nini, haya ngoja nikujibu mimba ya penny ilitoka bahati mbya wanavyodai wahusika wa hiyo mimba yn imeharibika mimba.so hakuna ujauzito tena sijui ulikuwepo kweli au kelele tu .wanajua wenyewe wahusika.

    ReplyDelete
  3. Angalau blog imetulia maana ilikua full uswazi.Ezden endelea kumbadili bi shost.

    ReplyDelete