WADAU MAMBO HAYO KUTOKA USA NDANI YA DIDA CLASSIC BOUTIQUE,UKIHITAJI WASILIANA NAMI 0712-775150 KARIBUNI SANA

Wednesday, April 10, 2013 10 Comments








 Soma kimya kimya si vya kichina
 Powder za ukweliiiiiiiiiiii.
 ZOOM JINA LA POWDER,ZA UKWEEEE MTUPU ,LIPSTIC ZA MAANA VITU VINGI ORIGINAL KABISAAAA NAWEPENDA SIPENDI KUWACHAKACHUA WATEJA WANGU.

 Hizi product ni nzuri nimekusogezea kwa ukaribu mwanamke unayeupenda uso wako mkombozi wako yupo nitakuelekeza kila kitu tuwasiliane tu mteja wangu.





 Mambo hayo iki kidude kinatumika kama BODY MASSAGER,Unaweza fanya mwenyewe hasa sehemu za shingoni na sehemu za kichwa na sehemu zote unazowezza kujifanyia usizoweza unamuomba Bwana shemejiiiiii,Ni njia rahisi kukitumia unakiwasha na kukikandamiza taratibu sehemu ya mwili unayotaka na KUKIMOVE AROUND Hata kwa wale waume zao kama wapo mbali nipigie nikuelekeze kitakusaidia kuliko Kusagana lol.


10 comments:

  1. ufuska ndo unaoujua, kuuza vitu vya kijinga, na kuwadanganya watu. anza kutumia mwenyenye.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fuska mwenzio ndo mana umemjua

      Delete
    2. Fuska Mamaako! Alokuzaa Fuska mwenzake! Umuache DIDAH wetu! Wivu tu. Mxiiiiiiu. DIDAH wachomeeeeee!!!

      Delete
  2. hongera sana dida inshaalah mwenyez mungu azid kubariki kaz ya mikono yako,kwa hatua uliyofikia ni mapinduz makubwa sana kwa sisi wapenz na watumiaji wa product original si tu kutoka marekan na hata europe ujaliwe kuchukua huko mautam tam yote yahusuyo fashion kwa ujumla. mimi ni mpenzi sana wa weaving original hasa peruvian hair na brasillian naomba kujua nikihitaj hiyo product nifanyeje inakua ni kwa special order au zinakuwepo dukan.mimi penda wewe ming na mungu akuondoshee husda za waja.

    ReplyDelete
  3. Dida niko Mwanza

    Nikitaka Powder nafanyaje?

    please i need kupendeza
    mie

    ReplyDelete
  4. Hv binadamu tupoje? Badala ya kumpongeza mwenzako kwa hatua alofikia wewe unaponda. Kwan umelazimishwa kwenda dukan kwake? Achen wivu jaman na mfanye kazi.

    ReplyDelete
  5. Dida niko USA Nataka tuma mzigo kwa familia yangu. Mzigo wako umetumwa kwa njia ya posta?? Is it safe??? Nisaidie Mdau wangu.

    ReplyDelete
  6. Anonymous wa kwanza utakufa na kijiba na roho,wivu wa nn na mikono unayo! Dida tunaokupenda tupo kaza buti wanywe sumu

    ReplyDelete
  7. Watu wengine mna roho mbaya kama mmeza wembe! Hongera dida

    ReplyDelete
  8. Hii dida me kuna cream nilipaka nikatoka strech mark mikononi balaa nimeharibika cana na hizo strech mark nimepaka bio oil lakini haijanisaidia je hapo dukani kwako unadawa ya kunisaidia tatizo langu?

    ReplyDelete