WADAU BAADHI YA VITU VILIVYOPO DIDA CLASSIC BOUTIQUE,MZIGO MPYA UNAINGIA TAR 25,KUNA WADAU WAPO MWANZA KUNA POWDER WANATAKA NINAKUTUMIA KWA NJIA YOYOTE UNAYOONA KWAKO RAHISI HAINA NENO KARIBUNI.

Thursday, April 11, 2013 7 Comments






















7 comments:

  1. Hongera mamito mbona bei huweki mpendwa

    ReplyDelete
  2. Tuwekee na bei kabisaa,ili mtu ukitoka nyumbn ujue unaenda kununua kitu kwa bei gani mama

    ReplyDelete
  3. hongera duka lako zuri, na product zina mvuto

    ReplyDelete
  4. You have superb collection of shoes. Price range please?

    ReplyDelete
  5. well done mamito, hapo umenifurahisha na umenihamasisha nije dukani kwako yan una vitu vzr dida mpk raha, achana na mipasho mama ktk blog yk haina maana yyt, mambo tunayoyataka ndy hayo. gud mama.

    ReplyDelete
  6. Hongera mpenzi... Allah akujaalie ufanikiwe kwenye biashara yako. AMEEN!! NIMEPENDA VIPOCHI HIVO VIDOGO VYENYE MIKANDA MIREFU.

    ReplyDelete
  7. Dida hongera sana. nimependa duka lako kwani linavutia sana. Nimependa hizo pochi ila niko mbali (Mwanza) unaweza kunipa bei? (taja tu ya bei ya chini kabisa na ya juu kabisa then mimi nitachagua kati ya hizo bei). Tukishaelewana nitakuelekeza pa kupeleka then mimi nitakutumia kwa M-Pesa.
    Ila jitahidi kupunguza maneno mdogo wangu. Mara nyingine mbaya wako ukimnyamazia anaumia zaidi!

    ReplyDelete