WADAU HATUJIELEWI TU SI KILA ANAYEKUCHEKEA ANA KUPENDA,BINADAMU HATUPENDANI WATU WANA MACHUNGU NA ICHO KIDOGO CHAKO ALICHOKUPA MUNGU,WATU HAWAPENDI KUYAONA MAFANIKIO YA MWINGINE KAMA CHANGAMOTO,YUKO RADHII KUKUHARIBIA HAPA MJINI ILI UONEKANE HUNA MAANA KATIKA JAMII ILA MANENO YAO USIYAJALI NDIO MBOLEA INAKUSTAWISHA VYEMA,WAPO WATU WANAKAA VIKUNDI ILI KUMUHARIBIA MTU MAISHA YAKE AGENDA JINA LAKO NIA TU KUKUHARIBIA ILA WAJUE WANAHANGAIKA ALIYEKUPA VYOTE NI MUNGU HANA USHIRIKA NA MJA,TUMEJAALIWA CHUKI NA UFISADI KWENYE MAISHA YA WENZENU,JIKAZENI KIKE JAPO KUWA MNAUMIA MSIPAPARIKE KILA MTU AKAJUA UNAMACHUNGU KIASI GANI NA MWENZIOOOOO.

Tuesday, April 09, 2013 5 Comments

5 comments:

  1. Penda wewe sana live ur life mamy.

    ReplyDelete
  2. HUWA NAKUPENDEA HAPO UNAPENDA KUSEMA UKWELI HLF MADONGO YAKO HUMTAJI MTU JINA ILA LAZIMA WATAJISHTUKIA WEWE UNAPIGA KAZI TU SABAU UNA TULENGA WENGI WATU MABINGWA WA MAJUNGU UNARUHUSA YA KUFANYA CHOCHOTE NA KWA WAKATI WOWOTE KWELI WANAMACHUNGU ANADAIWA KODI SHANKUPE ANADAIWA HAYASEMI AHAHAAAA TUNAKAA NAE UKU BABU ANADAIWA NA UMEME HANA JIPA MABAVU TU WEWE UNAMJUA SINA HAJA YA KUKUHADITHIA.

    ReplyDelete
  3. hi dida, napenda nikwambie kitu mama angu achana na mambo ya mipasho kwenye blog yk hao wanaokuchokonoa life yk hawajielewi, tunaomba utuonyeshe mambo ya dukan kwako na utupe maelezo ya kuweza kufika dukani kwako ili tupate mahitaji mana wengine hatujui duka lako lipo shm gani zaidi ya kujua kinondoni sasa Kinondoni kubwa dia. asante

    ReplyDelete
  4. nakupenda sana dida toka ulivyokuaunaigiza penda sana wewe

    ReplyDelete
  5. Habari,piga picha na ummi umuweke kwenye blog yako tumuone kwani hatumjui samahani kwa hilo

    ReplyDelete