WADAU KUNA MSEMO MMOJA TU MBWA UKIJMJUA JINA WALA HAKUPI SHIDA. WALA HAKUPUNGUZII SIKU ZA KUISHI TUPA KWENYE DUSTBIN.

Wednesday, April 03, 2013 12 Comments

Mwanamke ninayejiamini mpk najiogopa.

12 comments:

  1. Habari ndo hyo umemsuuza kasuuzika kimya sasa mbona aweki comment zako, wa miami kamchamba balaa yule cyo wa kushindana na sinta anaongea ukweli, apendi kumfagilia m2 ata ukiwa rafiki ukimchefua anakuchana live hicho ndo ninachompendea, amfagilii m2 eti kwasababu ana kitu zaidi yake, lovee Dida and Mange mmempa ukweli shoga chezea tungejuaje anaishi uchochoroni kisa sinza

    ReplyDelete
    Replies
    1. YAANI HEHEEH MANANIPA RAHA SANA DIDA,YULE MAVI KUNUKA TU HANA LOLOTE MSHAMBA ANATAFUTA UMAARUFU, KUPITIA MAJINA YENU, WAAAAAPI HAWAPATI HATA HEHHHHE TENA DIDA NIKWABIE SHOGAYO SINTA MWIZI, KUNA OFFICE ALIFANYA KAZI AKABA HELA AKASEA, HALAFU KWANINI HAPENDI KUWEKA PICHA YA MWANAE HEHEEHEHE HAONI WEWE UNAVYORINGA NA SAMIRA WAKO HEHEHEHEHE , MWMBIE RAHA YA WATOTO NI DUNIA, HAJAWAHI WEKA PICHA YA MWANAE HATA SIKU MOJA WAKATI ALIOLEWA, NA ANAMTOTO, NA FIKIRI SASA HIVI ANA MIAKA KAMA MITANO KAMA SIKOSEI. KAH NATAK KUONEKANA BADO BINTI HEHEHEH WAAAPI KIZEE KILE NA MIGUU YAKE KIBANA, KUJISHAUA TU HANA LOLOTE ANANIUDHI MIMI, WOIIIII MSHAMBA TU. MPE MAMA VIDONGE VYAKE, USIMKOPESHE MSHAMBA SANA...WAWACHE WEWE NA MANGE MIAKA ELFU TISAAAAAAAA

      Delete
  2. Wanipa raha dida wewe mwanamke kujiamini

    ReplyDelete
  3. SAFI SANA ACFHANENI NA HUTU MTOTO MNAFIKI KAZI KUKOSANISHA WATU..BORA BLOG YAKO ISIWE NA COMMENT NYINGI NA SIO ZA WANAFIKI KAMA MAMA NATURE

    ReplyDelete
  4. Dah! Pendeza ww sana!

    ReplyDelete
  5. yaani nyie watu Dida + Mange nawapendaje, kwa kweli mmenipa raha hadi kumoyo, mtu kutwa kuwasema wenzie kwenye huo mtandao wake utasema yeye yupo sahihi. Ebu turudi nyuma kidogo, ule wimbo wa sitaki demu wa Nature ulikuwa wamuhusu nani jamani??????????????? Ebu ajiereze upesi.

    ReplyDelete
  6. Dida aminia,kwanza kukaa kimya ni jibu la mjinga,yule nadhani ana stress zinamsumbua akiwaangalia wewe na Mange maisha yenu mshayapatia na mnatafuta kwa jasho lenu sasa yeye hana mbele wala nyuma ,ataishia kuvaa mashela yale mpaka atoke sugu ndoa ataisikia kwenye bomba,SINTA lako hilo,Dida msalimie Schola.

    ReplyDelete
  7. Dida Maneno kuntuuuu!!! mungu akuzidishie mama samira. Watu wanataka kuiga tembo kunya hawajui madhara yake? Me love u thanathana.

    ReplyDelete
  8. safi saana dida ishiupendavyohakuna maisha mengine na ucruhusu mtu ayaingilie maiha yako Mungu awabariki ww na Mange na awakuzie watoto wenu amen

    ReplyDelete
  9. Mna mambo nyie mso sema neno likaisha,hamna dogo kama polisi!?mmesukutuliwa kwa petrol kisha mkanyweshwa uji wa saruji,kule haturudii maana hatutangazi kifo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha umenichekeshajeee, ukiona anarudia rudia mafumbo humu jua limemgusa. pole dida wenzio washafunga kitabu wewe ndo kwanza unarudia ukurasa wa kwaza

      Delete
  10. DIDA MCHALAZO WA LEO UMENIKOSHA

    ReplyDelete