AKUMULIKAE MCHANA USIKU MCHOMEEEE.

Thursday, April 04, 2013 26 Comments

HIVI WANAWAKE WENZANGU MLIOJALIWA MIDOMO YA UPATU KUTWA KUCHA KUDOBOA WANAUME WA WENZENU AU WANAWAKE WENZENU KWENYE MAPENZI YAO AU NDOA ZAOINAHUSU?OOOOH FULANI KAOLEWA NA MTOTO MDOGO HIVI UNA KADI YAKE YA CLINIC YULE KUMUITA MTOTO MDOGO AU SABABU TU MIDOMO YENU IKO WAZI KAMA MILANGO YA POLISI NA KAMA NI MTOTO MDOGO MBONA AKIENDA CHOONI ANAFUNGA MLANGO AACHI WAZI?OOOOH KAOLEWA NA MTU MZIMA ANACHAMBIA JAMBIA UYO MTU MZIMA AU PANGA, ACHENI MIDOMO NYIE WENYEWE HATA CHUNGU KIMOJA HAMNA WENGINE WANAZEEKEA MAKWAO MPK MVI ZA KOPE ZINAWATOKA,MWISHO WA SIKU LILIA BAHATI NA SI UZURI BIBI WEEEEEEE,OOOOO MARA KAACHIKA KAACHWA MAMA WINNIE MANDELA DUNIA IKATIKISIKA SEMBUSE SIE TUNAJULIKANA VITONGOJINI,PUNGUZENI MANENO WEWE MWENYEWE UMNAMCHAMBA MWENZIO UNAISHIA KUJIVISHA PETE ZA NDOA MUONEKANE MMEOLEWA ALOOOOOO,WENGINE WAKIAMBIWA NA BWANA HAMIA ANAHAMIA KAMA AIRTEL,AHAAAAA MNANIACHA HOI MNAOJIFANYA MABINGWA WA KUWASUUZA WATU NA KUWASEMA WENZENU KAACHWA NA WAKATI WEWE UNAMTAFUTA HATA WAKUKUOA ALOOOO NA BADO MPK VYUNGU VIFIKE MIA NDIO UJUE WATU WANAWEZA KUOLEWA NA KUACHIKA NA KUOLEWA TENA BIBI WEEEE WEWE UKO KWENU UNAKULA SAHANI MOJA NA FAMILIA ATAKAYEGUSWA AJIULIZE UMEKWAMA WAPI MPK UTAFUNE MANENOOOOOOO.

NDIO MIMI NDIMU MKATA SHOMBO.

26 comments:

  1. LEO KWELI UMEWASUUZA SHOGA WAAMBIE WAKOME, KUOLEWA BAHATI CYO UZURI, KAMA HVYO WOTE BARABARANI WAZURI LKN NDO AKUNA, ATA UKIACHIKA NDO BAHATI WENYEWE WAMEZOEA WASUUZE SHOGA MAMA IRENE WA MAGOMENI

    ReplyDelete
  2. hahahahahahahahah DIDA umeua ww ndimu mkata shombo shenzi washazoea kujifanya wamjini wanawaonea wenyekuwapotezea ss mwaka ndo kwanza unaanza hahahahahahahahahah walelelelele, nilikuona mwanza ulishika jiji kwa masaa machache

    ReplyDelete
  3. WANAWAKE BWANA.....NASEMA IVI..........KUOLEWA SIO ISHU NA KM VP BORA KUTOKUOLEWA. NINGEKUWA NDO WEWE DIDA NINA KAZI,,NINA BIASHARA NA MTOTO MZURI WA KIKE KWENDA KUOLEWA MARA 3 TENA NATAKA NINI???? MARA YA KWANZA HALIKUWA CHAGUO SAHIHI,MARA YA 2 SHUTI UKAMPATA KIJANA MWENZAKO NINI KILITOKEA...... NASEMA IVI........... MI NINGEKUWA WEWE MADA ZA NDOA NISINGEWEKA HUMU HAKUNA CHA BAHATI WALA UZURI JAKA MOYO TUPU. KUOLEWA SIO ISHU ILIKUWA ZAMANI.KULIKO KUOLEWA NIACHIKE BORA NIKAE KWETU POTELEA MBALI AU KM VP NIPANGE NIDATE TU

    ReplyDelete
  4. Dida hakuna siku ulinikosha kama ulivyowapa maneno yao waharibu uchumba ama kujitia kususia harusi za wenzao vizee havina hata haya majungu wakiona mtaji kutwa kuchunguza ya wenzao,watu habari nao hata hawana wao wanaweweseka kutwa nzima kuyajua ya watu yamekwendaje hovyooooo ukiulizwa sababu ndio hayo dida asema

    ReplyDelete
  5. Kama ni kimtu kizima ukute wanae wamedodea nyumbani huwezi mtu mzima ushadadie mtoto wa fulani kaachika lol usitukane mamba ilhali hujavuka mto,na kama ni binti uliza miaka yake na je yuko na ndoa?ukishapata jibu nadhani hatokusumbua

    ReplyDelete
  6. Dida hao ni wengi mbona kuachika kwa wenzao furaha yao kuolewa kwa wenzao msiba kwao,na vocha humaliza kupeana taarifa,Allah ndio kila kitu ukimtegemea mwisho wa siku hao wote sura zinawashuka kama chupi lilolegea lastic,wanauzi mengine yamepangana foleni makwao hata wa habari gani hawamuoni basi unakuta watoto,mama wote wanakuwa na roho mbaya oh mtoto wa fulani anaolewa oh mtoto wa fulani hivi hao wa kwako walioachika wao matumbili??utaharaaaaa hujijui

    ReplyDelete
  7. Dida nakupenda hapo tu wape ukweli mtaa wa pili maana kutwa kusema wenzao kama wao wanazo na bado atakaa akitamani tu vya wenzie. dida upo juu ndiyo maana unasemwa ukiona maneno mengi jua umewazidi upo juu yao kaza buti mama wazidi kusema nyau wakubwa.

    ReplyDelete
  8. hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa hoi weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  9. wapewape wape hao wambea kutwa kukalia ya wenzao watafute kazi za kufanya.hayo yote ni sababu ya kukosa kazi babuweeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  10. NIMEIPENDA UKIMJUA MBWA JINA HAKUPI SHIDA...HILI NALO NENO........YEYE HATA HIYO NDOA MOJA IKO WAPI? MIKOSI IMEMZUNGUKA SHAURI YA KUWAOMBEA WENZAKE MABAYA NA KUWASEMA NA DOMO LAKE KUBWA KAMA MAPAZIA YA SINEMA.......LEO AMEBAKI ABENUA MIDOMO JINSI DIDA NA MANGE MNAYOMNYIMA USINGIZI NA HILI NDIYO DAWA YAKE YEYE NA GROUP LAKE

    ReplyDelete
  11. uwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwi leo umeniua mbavu jamani uuuuwi yaani nimecheka mpaka basi ila kweli tuacheni wivu tafuta hela si ujinga kukazana maneno, mi kuna watu nilikuwa nawaheshimu kweli siku hizi nimewashussha kweli, uko juuu dida lilia bahati si uzuri

    ReplyDelete
  12. Wala hujakosea kuma make m1,,,hv anaitwa sinta kujidai anajua kuchambua mapenz ya Wa2 na MIGUU yake ya kushoto,,,,,toka namjua hana bahati kakosa yote sasa ameamua kuosha nyota kwa kuuvaa ugomvi na dada na mange wangu,,,,nawapendi,,,msimpe chati yule mwenye KUMA YENYE MAPENGO,,,used long tym sana,,,okkk,,,,,

    ReplyDelete
  13. Sijawahi kucomment ila maneno ya leo nimeyapenda wengine hata hawajui ndoa ina rangi gani wanazaa nyumbani lakin kushadadia ya watu mbona wao hawsjaolewa mxiuuuuuu

    ReplyDelete
  14. kama ni muislam na umesoma madrasa utalijua hili kwamba kuolewa na mume uliyempita umri ni ruksa,kwa sababu mtume wetu alipokuwa miaka 25 alimuowa bi khadija akiwa na miaka 40.

    ReplyDelete
  15. tulio kwenye ndoa hatushangai wala kushadadia aliyeachika. tunayajua ya kwenye ndoa. andunje hajawai kuolewa hivyo ya kwenye ndoa atayajuaje? kama kuachika ni ajabu mbona ulifatwa na ukaolewa tena wakamuacha yeye bikra pamoja na kujipigia promo kila siku. maisha ya ndoa hayana ujuzi we umefundwa aliyekuoa kafundwa? we una Mungu aliyekuoa je? wewe unaolewa ili mjenga familia bora, mwenzio anakuoa ili iweje? umeumbwa mwanamke kama utaolewa taka usitake iko siku utayapata machungu ya ndoa asikudanganye yeyote. raha zipo na karaha zipo, tena karaha nyingi kuliko raha ni kumuomba Mungu karaha zikija akupe ustahimilivu. sasa wanaocheka ndoa za watu me nawaangalia tu

    ReplyDelete
  16. DIDA NICHAMBIE KIZEE KILE YANI HAPA NILIPO NACKIA RAHA KUMOYO HADI BAAAAAAAASI,MWAKA HUU KAKANYAGA MOTO ALIZOEA KUCHEZEA VYEUPE HAHAHAHAHAHAHA RAHAJEEEEEEE,SURA IMEMPAUKA VITAKO VIMEMLEGEA VIGUU VIMEMKOMAA KUTWA KWENDA KUPIGA PICHA KWENYE MAHOTEL AONEKANE NAYEYE YUMO WERRRRRRRRRRRA CHAMBA HUYO KOPO MKAA CHOOONI

    ReplyDelete
  17. Teeeeeeeeeeeenaaaaah,sintah unalo hilo lako mwaka wako huuu bi kizeeeeeee,hahahahahahahahahahaaaaa eti kujivisha pete,dida we mc
    hokoziiiii yani unamchamba mtu mpaka anajickia ananukaaa mwili mzima heheeeeeeeee

    ReplyDelete
  18. safi sana DIDA WAMEZIDI MASHAUZI WAKATI VIFAA HAWANA KAZI KUCHONGA NA KUJISHAU ..YAAANI HAKA KA ANDUNJE NI KA KUCHAPA BAKORA TU SITAKI DEMU

    ReplyDelete
  19. TENA DIDA WAPE WAPE WANAJIDAHI WEWE MTOTO WA KISWAHILI WAKATI USWAHILI NDIO JADI YETU..NA ASILI

    ReplyDelete
  20. hahaha dida bwana eti ndimu mkata shombo hahahaha nimeipenda hii

    ReplyDelete
  21. Wapi x wa nature na ndoa? Tokea nimeanza kumsikia nilikuwa mdogo tena chekechea, sasa mpaka leo hata mme hana, kabakia kuokota watoto wa kumtoa utoko wake wa wa kizee, kakomaa miguu kama mbeba zege, ukimuona shuti huruma, kabakia kuomba vyumba vya watu apige picha, yaani akanikera kwa kuwasema wenzie kila siku, hivi yey zile picha alizopiga enzi zile na nature mbona haziweki ili na jamii ione aliyokuwa anayafanya? Tena watu wakosaji utawasikia kuwa ohoo ndoa ndiyo nini, mala ohoo mimi sitaki kuolewa, hivi kuna mwanamke hasiyetaka ndoa? kiukweli kila mwanamke itaji lake la moyo ni kuwa na mwenza bibi wewe. Sasa huyo anayesema hataki ndoa hajawahi hata kuolewa na kuhachika tukasema labla kaona machungu ya ndoa, hawana lolote hao, kama hawataki dnoa kwa Okwi walifuata nini? Sasa kama yeye mwanamke huu mwaka usihishe afae shera original na siyo yale feki anayovaaga kwenye kile kipindi chake cha sijuhi nini ... harusi. Bibi wewe shela raha kama la original na si feki, mpe na huyo jamaa yao nyama ya mkundu ili akuoe kwani huko mbele nature kaaribu. wapiiiiiiiiiiiiiiiiii.

    ReplyDelete
  22. Acheni kusifia ujinga try to make your marriage work instead of finding excuses on why it doesn't work

    ReplyDelete
    Replies
    1. Well tell them, eti ooh bora alieolewa na kuachika! hakuna bora,,acheni majungu elimishaneni mambo ya maana sio kuchambana!

      Delete
  23. heri uwaambie, kutwa kuchwa kujibizana kimafumbo, wengine wana kazi ya kufanya liwezekanalo kuuhakikishia uma kwamba bado hawajaachika kwa kuonesha vimatako. Kama ipo ipo tu , huna haja ya kuwahakikishia, utawahakikishia wangapi dunia hii?????? LIVE YOUR LIFE MEN....DONT EVER TRY TO PLEASE HUMAN BEINGS COZ YOU WILL NOT.

    ReplyDelete
  24. duh afadhali wenye busara wamesema..wanawake wa bongo aibu...blog kuchambana tu. sijui tunaelekea wapi. mh..yangu macho...

    ReplyDelete
  25. DIDA KUSEMA UKWELI MIMI NAOMBA NISEME LANGU MAANA TUMECHOKA KUNA MAMA HUKU TABATA ANAITWA GRACE PALLA MWILI MKUBWA KAMA PEPEKALE MWIZI WA WAUME ZA WATU NA AKIMPATA MUMEO NA MIDAWA YAKE ATAMTUMIAAAA MPAKA AMCHOKE HUYU MAMA NAPASUA JIPU PUUU ANAITWA GRACE PALLA AU MAMA WAWILI TUMECHOKA KUONA U"|+_***** WAKE MPAKA JUMAPILI KAFUMANIWA MITAA YA TABATA MAJIRA YA SAA 8.30 ALASIRI LAKINI HAISIKII KESHO YAKE KAONEKANA NA HUYO KIJANA TENA NI MUME WA MTU NA ANAWATOTO WAWILI YE MWENYEWE HUYO MAMA ANA WATOTO WAKUBWA WAKIKE WANASOMA INT SCHOOL OF TANGANYIKA NI TWINS SO ANAITWA MAMA WWILI NJOO MITAA YA TABATA SHULE PALE MADUKA YA KARIBU NA ZAHANATI MITAA YA BIMA PIA MITAA TA SEGEREA BARAKUDA NA SIGARA KWA MADEREVA TAX NI JIKIMEOOOOOO LA NGUVU HASIKIIIII ANAHARIBU NDOA HII ANAHAMIA NYINGINE CJUI TUMPE DAWA GANI AACHE UMAMA POA NA VIJANA NAO TULIENIIIII NIENDELEE KUPASUA JIPUUUU WATOTO WAKE NI SANDRA NA BARBAR NA YEYE C KWAMBA ANAWASOMESHA ALIYEZAA NAE ANAMSAIDIA SASA ANATAKA AHARIBU NA NYUMBA NYINGINE ABAKI ANATUNZWA YEYE HUYU MAMA MPAKA SASA UKITAKA KUMPATA NI RAHISI YEYE BIA ZA BUREEEEE AHAAA UTAMPATA NA KUJUA HOW LAP APU SHE IS

    ReplyDelete