Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Dida unakuja kwetu kimya kimya jamani wewe ..safi sana kimbiza taratibu achana na wanga wa mjini hao
ReplyDeleteyaani nakupenda sana huna mashaka na mtu ukisema moja tu unanyamaza unaendelea na yako safi mamaa mimi penda sana maisha yako mno wakuache bwana hata wakisema uko juu zaidi mungu amekujaalia mwanamke mtafutaji unajua kuzitafuta na unajua kuzitumia yaani we acha tu u rock girl.
ReplyDeleteNISAMEHE MDAU NIKIJA TENA NITAKUTAFUTA.
ReplyDeleteHayaaaa
ReplyDeleteilo bag mbona kerooo kila safar
ReplyDeletevibaya hivyooo, kuja mwanza kimya kimya wakati mashabiki wako tupo siku nyingine usemee mamii tukupe campany
ReplyDeleteUmetokeleza dida
ReplyDeleteUpo juuuu huna presha my dada hee kula rahaaa uwiiii me penda ww saaaana mwaaaa,,CUTEE
ReplyDeleteGUDOOO MADAME ..ALL THE BEST
ReplyDeleteNakushauri tu weka na vitu vingine vya kujifunza humu si kila siku picha na hoteli ulikotembelea, na kusutana ww uko juu hakuna anayebisha, kumbuka kuwa unatazamwa na wengi
ReplyDeletemishauo yooote kumbe ulikua mwanza? pungunza uzito uwe kama shoga yako, si mnajifanya mnamidomo mikubwa kama shimo la choo.
ReplyDeletePENDA SN WW DIDA! NAKUAMINIA JINSI UNAVYO JUA KUZITAFUTA NDIVYO UNAVYOJUA KUZITUMIA! USHAURI WA BULE DIDA FANYA MAZOEZI ILI USINENEPEANE! UNENE NOMA DIDA! MENGINE UPO JUU WANGU! WANAOKUCHUKIA ACHANA NAO AU WATAJIBEBA!
ReplyDeleteMdada Ww Kwa Kujipa Raha Tu Hatukuwezi ,Kwako Milioni Si Pesa ,Laki Uadui .lol
ReplyDeleteHalafu siku hiyo ya kurudi Dar tulipanda wote ndge 1 i mean FASTJET, ila ulikuwa na mkaka ambaye alikuwa anakupiga picha nikahisi ndo G, mwenyewe ulikuwa busy na mambo yako. kula bata mama kwa raha zako.
ReplyDelete