WADAU MCHAKATO WA KUMTAFUTA MISS DAR INDIAN OCEAN USHAANZA,KAMA UNA VIGEZO VYA KUSHIRIKI UNAKARIBISHWA MAZOEZI YANAFANYIKA CLUB BILCANAS,MNAKARIBISHA SANA WENYE VIGEZO MWANAMKE KUJIAMINI BWANA JITOKEZENI HUJUI RIDHIKI YAKO IKO WAPI.

Friday, April 12, 2013 1 Comments

 Ndani ya studio leo kushoto ni Diana mshindi wa Miss dar Indian Ocean mwaka jana,Groria na Dida ndani ya TIMES FM 100.5.
 Dida,Diana.

1 comment:

  1. Ni ushauri tu unaweza kusaidia na wasomaji wengine,kama utabania sawa! Nakushauri ukate nywele uanze upya,afu wakati unasubiri zikue unakua unavaa mawigi,hata kama ni lace wigi ila unakua hubandiki na glue,coz inachagia sana kukata nywele!zikishakua unaanza kutonea huku bado unaendelea na mawigi yako,zikashakua vizuri usipake marangi,usibadilishe dawa ya nywele,na mafuta pia!tumia hayo hayo,nakushauri utumie olive oil ya box! Baada ya miaka miwili dida utaona mwenyewe! Pili hilo pozi la kufanya hivo miguu punguza kidogo,picha nyingi ni hilo hilo

    ReplyDelete