BINGWA WA KUPENDA KULA SASA DIET INAHUSIKA DU,SASA WADAU HAPA NA KILO 68 NIPUMGUE NGAPI ITAKUWA POA?NI USHAURI WENU TU .

Thursday, April 25, 2013 17 Comments


17 comments:

  1. kg 68, kwani una urefu gani? unapaswa kulingana na urefu wako, kwama una 168 unakuwa na kg 68 na kama upo chini ya hapo fata hiyo. mimi nina kg 78 ila ninaonekana mwembamba kwako na ni urefu wa kawaida, napaswa kupunguza kg 7-10. Sasa mpenzi chips na diet haviendi kabisa uondoe chips. Naimani hiyo ni cola Zero unayokunywa. Kila la kheri na diet yako

    ReplyDelete
  2. 68 kg Dida mbona ni normal, kg kwa mwanamke nkiwa na maana hapo usizidi kwenda 70 na usipungue ukafika 55 atleast wewe cheza tu kwenye 60 usivuke na usishuke. Mdau mkubwa wa blog yako toka Scandnavia country,

    ReplyDelete
  3. baki na 60 punguza 8 kunywa juice ya kabichi utapungua fasta alafu ushafumua zile nywele dida mbona zilikutoa mwaaaaaah!

    ReplyDelete
  4. ABIRIA CHUNGA MZIGO DADA
    ISHA KACHAFUA KARIAKOO
    DIDA ANGALIA POCHI YAKO SHOGA

    MASHAUZI CLASCHORI CHORI

    ReplyDelete
  5. kilo 60 zinatosha ukizidi sana nayo kama ujuavyo mafuta mengi sana mwilini sio mazuri,kula bata na diet ila iwepo,halafu tuambie niwapi hiyo sehemu tuje nasie kula bata japo week end moja.

    ReplyDelete
  6. Hilo limwili uwe na kilo 68 uanzee tu..mi mwny kilo hizo sipo hivyo hata kidogo...labda una 88.Acha kujidanganya

    ReplyDelete
  7. bnadam wengine wa ajabu sa wabisha kg zake?? hii kali utabsha mpk jna basi mmmh

    ReplyDelete
  8. Dida bwana mahay mambo ya kikonde mmmh noooooooooo,we pugu bia,nyamanyama.n itu vingine .diet no......
    mdau mwanzza

    ReplyDelete
  9. wewe bugia tu alafu useme unatutaka ushauri jishauri mwenyewe na maulaku yako ukifikiri sifa unakula junkfood sana hala wataka kupungua utapunguaje utanenepa sana kama nguruwe

    ReplyDelete
  10. duh ila 68kg mbn unaonekana ni mnene sana?bac dida wewe ni mfupi sana,sasa ni hivi pima urefu wako ni cm thn toa kwa mia.
    Mfano: mimi urefu wangu ni 157cm natoa 100 baki 57,hiyo 57 ndio inatakiwa uwe uzito wangu bac ingawa now nina 63kg

    ReplyDelete
  11. Naona utafute kipimo kinachosema ukweeli maana kwa kukuangalia tu huna hizo kilo 68kg unazodai, unaweza kuwa 75kg mpaka 80kg!! sasa ukitaka tukupe jibu la ukweeli tuambie kilo zako za ukweeli tafadhali sana. all in all you are over weight sana tu kitu ambacho si kizuri kwa moyo wako. halafuangalia unachokula hapo full mafuta a alizeti!! duuu!

    ReplyDelete
  12. Punguza Ujinga & all will be okay.

    ReplyDelete
  13. Kuna kitu kinaitwa BMI- (Body mass index),ingia google uitafute. Unatakiwa ujipime urefu kama wengine walivyosema na uzito wako. Itakwambia jibu either upo normal/healthy ama pre-obese ama obese. Pia itakwambia unatakiwa uwe na kilo ngapi ili uwe kwenye watu wali kwenye normal/healthy weight. Kwa kukuangaliatunaweza sema pungua 10kg halafu ukawa upo kwenye underweight ambayo naamini sio lengo lako. Kila la kheri!!!

    ReplyDelete
  14. oya dida hio kilo kiaina umechakachua ila sio tatizo kwetu. dida kuna kitu/kipimo kimoja wanakiita BMI(body mass index) hiki kipimo kinahusisha uzito wako katika kilo/kg na urefu wako katika mita/m. unatakiwa upime kilo zako ktk kg na urefu katika mita. kisha utumie uhusiano huu : yaani BMI = kilo ulionazo katika kg/ (urefu wako katika meta x urefu wako katika meta). kiufupi BMI = kg/m square. jibu utakalopata kama ni chini ya 18.5 basi uzito wako ni pungufu kwa hiyo unahitaji kuongeza. kama ni kati ya 18.5 hadi 24 basi huu ndo uito sahihi na wenye afya na unaopendekezwa huu utakuepusha na kusukari, presha, magonjwa ya moyo. kama ni 25 - 30 hii overweight yaani uzito uliozidi na hautakiwi kwa afya kwani unaweza leta magonjwa ya kisukari na presha kwa vijana na watu wa umri wowote ni hatari. na kama ni zaidi ya 30 basi hiyo ni obesity, uito uliokithiri katika hii muda wowote mtu anapata kisukari. so Dada dina na wengine jipimeni muangalie mpo wapi. kupunguza uzito ni ngumu sana. halafu huyo mtu hapo juu amekosea hakuna kipimo cha cm kutoa kg . ijapokuwa kwa wakati mwingine italeta majibu

    ReplyDelete
  15. Mmmh hizo sio kilo zako hiyo mizani uliyopima imekudanganya

    ReplyDelete