Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
MY WEDDING DAY....
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
-
THE AFTERMATH...
-
ZARI'S BIRTHDAY ZANZIBAR....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
WIZI MTUPU, HATA KUTANGAZA BIASHARA HUJUI, UTAKUFA NACHO, HUJIELEWI DIDA,
ReplyDeleteDida mdogo wangu hapo ni unatangaza biashara kuhusu miwani au unawachamba wateja?wakati mwingine tumia maneno hata ya Upendo japo kwa kiasi kidogo
ReplyDeleteAtakufa nacho kipi acha roho mbaya we mbururaaaa muache dida ajitangazie biashara yake we kaa na majungu na ndo maana madhila hayakuishi kinyago usiyejijua km huna cha comment get a life n move on to other blogz mburula wee
ReplyDeleteMhhh sasa we ananymous 12.45 ndo nini jamani kama una mataizo na dida hivi, mimi ninachoweza kusema ujue kutofautisha, dida alishesema uzungu sio asili yake, Kipindi anachotangaza mwakijua, so anayoongea mi naona yupo right, how comes unamponda mwanamke mwenzio anajitafutia wateja jamani mbona wanawake mna gubu hivyo
ReplyDeleteMie nipo canada dida ila nakuja bongo wiki ijayo.Nitapenda kununua chochote ckwako, naomba toa maelekezo vzr mwaya nije kukuunga mwanamke mwenzangu.Wanawake wenzangu kwa kuvunjana moyo mmeniogopesha kwa kweli daaaaaaaaaaaaa hadi hasr yani