BINADAMU HUWEZI KUPENDWA NA WOTE,NA HATA UKICHUKIWA NA WACHACHE WENGI WAPO NA WEWE NA KUMBUKA HAKUNA ANAYEPENDWA NA WOTE LABDA MWENYEZI MUNGU PEKEE NAKUSHUKURU HANIFA NA RAFIKI ZAKO KWA KUTAMBUA UMUHIMU WANGU KWENU ISHALLAH NIKO PAMOJA NANYI KWA MCHANA NA USIKU.

Tuesday, April 16, 2013 2 Comments

Alhamdullilah waja wakikuchukia kuna waja wanaumia juu yako nakutamani ukifanyacho kila kukicha na kukusapoti kwa kila ufanyalo mungu awajaalie mioyo iliyofunguka maana wanao ikunja mwisho wao maradhi ishallah.

2 comments:

  1. Kweli mpenzi wako wengi kweli wanaumwa bure coz hata ukimchukia alopewa kapewa haviwez kuja kwako kamwe

    ReplyDelete
  2. KWANI WEWE UNAWAPENDA WOTE, MBONA KUTWA UNAWATUKANA KWELI MTENDA AKITENDWA HUJIHISI KAONEWA,

    ReplyDelete