TIMES FM 100.5 INAWAPA ZAWADI ZA TSHIRT WASIKILIZAJI KATIKA KILA KIPINDI,KTK MSIMU HUU WA SIKUKUU X-MAS NA MWAKA MPYA SABABU TUNAJALI WASIKILIZAJI WETU.

Thursday, December 20, 2012 1 Comments

 Baadhi ya wasikilizaji wakiwa wametokelezea Tshirt za kipindi kinachoongozwa nami DOUBLE D DIDAAAAAAAAAA TISHAAAAAAA.
 Nikiwa katika pozi na Wasikilizaji wangu ndani ya mjengo wa Times Fm Kawe Beach Dsm.
Bi Hindu ambaye anakupa Makavu ndani ya kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI.

1 comment:

  1. wAPE UKWELI Dida hawana nyuma wala mbele kazi kusema yawenzao yao yamewashinda majoo ya shamba tangu lini wakawika mjini

    ReplyDelete