LEO NDIO ILE FAINALI YA EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012 (EBSS) LINALODHAMINIWA NA KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA ZANTEL NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE KUANZIA SAA MOJA JIONI... USIKOSE KUSHUHUDIA MPAMBANO HUU.

Friday, November 09, 2012 0 Comments


HAWA NDIO WASHIRIKI WATANO WALIOBAKIA KUTOKA KATIKA MCHUJO TANGU EBSS 2012 ILIVYOANZA SAFARI YAKE. KUTOKA KUSHOTO NSAMI NKWABI, WALTER CHILAMBO, SALMA YUSUPH, WABABA MTUKA NA NSHOMA NG'HANGASAMALA. JE, NANI ATANYAKUA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 KATI YAO? 

0 comments: