BAADA YA MIEZI MITATU (3) YA MCHUANO MKALI, HATIMAYE USIKU WA KUMKIA LEO KIJANA WALTER CHILAMBO AJINYAKULIA LILE DONGE NONO LA SHILINGI MILIONI 50 PAMOJA NA MKATABA WA KUREKODI.

Saturday, November 10, 2012 0 Comments

WALTER CHILAMBO AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE JUKWAANI, BAADA YA KUIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO HILO LA EPIQ BONGO STAR SEARCH ( EBSS ) 2012.

MASHABIKI WAKIFUATILIA KWA MAKINI KUKABIDHIWA KWA ZAWADI MSHINDI WA EBSS 2012.

0 comments: