UKIGUSWA PIGA KIMYA,PITA KAMA HUJAONA........

Wednesday, July 11, 2012 6 Comments

HEHEYAAAAAAA HAYA HAYA SASA KWA WALE WALIOKUJA MJINI NA MITUMBA SASA WAMEINGIA MJINI WANAJUA KWENDA BOUTIQUE,USTAA WAMEUBEBA KICHWANI NA KUDHARAU WATU MJINI IMEKULA KWENU KILA MTU NA MAISHA YAKE ASUJUDIWI MTU MJINI ZAIDI YA ANAYENIPA PUMZI,NA KUNIFANYA NAPUMUA BILA USHURU,NA KUJIONA WA MAANA HATA SHOMBO ZA MAZIWA HAZIJAKUTOKA MJINI UNAJIONA WA MAANA IMEKULA KWAKO,MAANA KWANGU NAKUONA HUFAI KWA KUUZWA WALA KUWEKWA BONDI UJE TARATIBU MAANA KAMA UMEKUJA NA JEMBE HAPA MJINI UTALIMA LAMIIIIIII.

WENYE CHUKI BYE BYE.
ATAKAYEJISHUKU INAHUUUUUUU.

6 comments:

 1. Nimekukubali!!!

  ReplyDelete
 2. Wera wera wera, wakiweza wameze hivyo vidonge

  ReplyDelete
 3. Daaaa mswazi kweli dada yani hupendeeezi hata kidogo! punguza kidogo

  ReplyDelete
 4. inamhusu jlo bongo,amelijua jiji kwa lazima

  ReplyDelete
 5. Maneno matamu hayo wapeeeeee

  ReplyDelete
 6. Maneno mazima hayo! wape wape washamba wa mjini, wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya watu

  ReplyDelete