FUNGUKA NA EBSS

Tuesday, July 03, 2012 0 Comments
1.   EBSS MENTION “FUNGUKA LINE”

Epiq Bongo star search, wanakupa fursa ya kurekodi wimbo wako kupitia simu yako ya mkononi kutoka mtandao wowote, kupitia “FUNGUKA line”.

Kama ni mteja wa zantel

·         Piga 0901551000 kisha sikiliza maelekezo jinsi ya kujiunga na kurekodi wimbo wako utatozwa tsh 150 /dakika kila unapotaka kurekodi wimbo wako kupitia nambari ya EBBS “Funguka Line”

Kama si mteja wa Zantel

·         Piga 0901551000 kisha sikiliza maelekezo jinsi ya kujiungana kurekodi wimbo wako utatozwa tsh 300 /dakika kila unapotaka kurekodi wimbo wako kupitia nambari ya EBBS “Funguka Line”

2.   EBSS MENTION “FUNGUKA SMS”

Epig Bongo star search, kupitia ujumbe wa “SMS” unaweza kupata habari moto moto ya matukio mbalimbali yanayoendelea nchi nzima,kutoka kwa washiriki,majaji na maeneo.

Kama nimtejawaZantel

·         Tuma neno EBSS kwenda “FUNGUKA SMS” namba 15530, utajiunga kisha utapokea matokeo yote ya EBSS kote Nchini. Utatozwa Tsh 150/SMS tu.

Kama si mteja wa Zantel

·         Tuma neno EBSS kwenda “FUNGUKA SMS” namba 15530,Utajiunga kisha utapokea matokeo yote ya EBSS kote Nchini. Utatozwa Tsh 300/SMS tu.

0 comments: