LUNDENGA NA MISS UNIVERSE WALIPOZURU NDANI YA MITIKISIKO YA PWANI NA TIMES RADIO

Friday, June 29, 2012 0 Comments

 Dida akiwa na warembo washiriki wa Miss Universe ambao watachuana leo ktk ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam

 Kabla ya Mamiss wa Miss Universe kuzuru walitanguliwa na Mratibu Mkuu wa Miss Tanzania Hashim Lundenga ambaye alielezea mchakato mzima wa Miss Tanzania 2012 na jinsi ulivyo tofauti na za miaka iliyopita.

Moja ya tofauti ya Miss wa mwaka huu ni kutokwenda kushiriki moja kwa moja ktk michuano ya Miss World ya mwaka huu ambapo tayari alipatikana miss wa miaka iliyopita Lisa Jensen kwenda kutuwakilisha kimataifa, pia zawadi ya gari kwa Miss Tanzania 2012 haitakuwepo km ilivyozoeleka na badala yake atapewa zawadi ya pesa taslimu shilingi milioni mbili ( Tshs. 2,000,000/=)

Ktk Pozi za ki-miss

0 comments: