TRAVENTINE HAPATOSHI JUMAPILI HII, WAKALI WA 4 WA TAARAB NDANI YA STAGE MOJA.........

Wednesday, June 27, 2012 0 Comments

 Jumapili ya wiki hii tarehe Mosi ya Mwezi wa Saba ( 01 July, 2012 ) ktk Ukumbi wa Traventine Hotel kutashushwa burudani kali ya Taarab kutoka kwa Wanawake Hodari ktk fani hii wale wakali wanne ktk jukwaa moja ambao ni pamoja na Bi Mwanahawa ally, Malkia Khadija Kopa, Mariam Hamisi na Bibie Nyawana, ambapo wataongozwa na Bendi ya Mashauzi Classic Taarab ikiwa chini ya Thabit Abdul.

Malkia Khadija Kopa

Jumapili hii kundi la Jahazi Modern Taarab halikuwepo kufanya show zake ktk ukumbi wa Traventine hivyo kupisha Show hii kali kutoka kwa wanawake wa4 kwa kiingilio cha Tshs. 5000 tu.

0 comments: