BAADA YA DOM, EBSS KUFANYIKA ZANZIBAR WIKIENDI HII

Thursday, June 21, 2012 0 Comments

 Moja ya Washiriki wakifanya usahili kwa ajili ya EBSS Dodoma

Baada ya kufanikisha kuwapata washiriki wa5 wa Epiq Bongo Star Search (EBSS) Dodoma, sasa ni zamu ya Zanzibar ambapo wikiendi hii usahili utafanyika pale Ngome Kongwe

 Hapa washiriki wakipiga soga kabla ya kwenda kwa majaji

 Mshiriki akiwajibika mbele ya majaji
Sehemu ya Msululu wa washiriki EBSS Dodoma

Linex akipagawisha ndani ya Waka Waka Party Dodoma, ktk Epiq Bongo Star Search After Party kukamilisha usahili Dom kabla ya kuelekea Zanzibar wikiendi hii

  MWASITI AKIPAGAWISHA


 MSANII AENDAYE KWA JINA LA DITTO AKIPANDA JUKWAANI KUWAPA BURUDANI KWENYE WAKAWAKA PARTY
WAZIRI ALIEKUWA MSHIRIKI WA BSS MWAKA JANA NAE HAKUKOSA

NICHOLAS WA COCA COLA, MWASITI, WILLIAM PINGO WA ZANTEL, DITTO, MHE. JANUARY MAKAMBA, AWAICHI MAWALLA WA ZANTEL , IBRAHIM ATTAS WA ZANTEL NA LINEX WAKIPATA GROUP PICTURE NA MHE. JANUARY MAKAMBA

DITTO, MWASITI NA LINEX WAKIWA CLUB 84

0 comments: