MAJAJI, MISS DAR INTERCOLLEGE 2012 KESHO

Friday, June 22, 2012 0 Comments

Chief Judge Wema Sepetu na judge Dida ktk pre-judgement, mtanange wenyewe ni kesho

Majaji kazini

Jaji Juma na Jaji mwenzie Juma Pinto kulia

 Majaji wa Miss Dar Intercollege 2012 wakiwa busy usiku wa leo kuwafanyia usahili warembo washiriki wa Kinyanganyiro hicho ambacho kinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya kesho ktk ukumbi wa Makumbusho opposite na Chuo cha IFM

Dida, Martin na Snura


0 comments: