WEEK END YANGU WADAU NILIIMALIZIA HAPA KWA RAHA ZANGU.

Wednesday, June 20, 2012 3 Comments Room yangu ni full kujiachia
 kila siku mnamuulizia shemeji yenu nimewawekea leo lzm niwe nae popote

Tulikutana na watoto wametoka kupokea kipaimara ndani ya bajaji mambo yote naona wakifika home.

3 comments:

  1. KAMERA DADA KAMERA NUNUA YENYE NGUVU YAANI PICHA SIO NZURI KABISA

    ReplyDelete
  2. kitu cha twins park bagamoyo pametulia sana

    ReplyDelete
  3. Napapata hapo ni Bagamoyo

    ReplyDelete