UMATI WAMUAGA MAFISANGO TCC Chang'ombe, kuzikwa kwao Jumapili.

Friday, May 18, 2012 0 Comments

Nico Nyagawa, Kaseja na wadau wa Simba wakiaga mwili wa Mafisango TCC Chang'ombe leoWaziri wa habari Utamaduni na Michezo Dr Fennela Mukangara wa pili kutoka kushoto akiwasili ktk Uwanja wa TCC Chang'ombe kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Patrick Mafisango.


.

.
.

.

.

.

Kocha wa Simba Milovan.

Mmmoja wa mashabiki walioshindwa kujizuia baada ya kuona jeneza. (Picha na Bongostaz.blogspot.com)

0 comments: